Kinanai ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi na Uchina inayozungumzwa na Wananai.
Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinanai nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1350. Pia kuna wasemaji 40 nchini Uchina (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinanai iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinanai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kinanai, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.