Kiberta (pia Kiwetawit) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia na Sudan inayozungumzwa na Waberta.
Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiberta imehesabiwa kuwa watu 187,000. Pia kuna wasemaji 22,000 nchini Sudan. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiberta iko katika kundi lake lenyewe, yaani Kiberta.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiberta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kiberta, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.