Kaunti Ya Baringo

Kaunti ya Baringo ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Kaunti Ya Baringo
Ramani ya Kaunti ya Baringo,Kenya

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 666,763 katika eneo la km2 10,976.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 61 kwa kilometa mraba..

Makao makuu yako Kabarnet.

Utawala

Kaunti ya Baringo ina maeneo bunge yafuatayo:

Eeneo bunge Kata
Baringo ya Kati Kabarnet, Sacho, Tenges, Ewalel/Chapcha, Kapropita
Baringo Kusini Marigat, Ilchamus, Mochongoi, Mukutani
Baringo Kaskazini Barwessa, Kabartonjo, Saimo/Kipsara Man, Saimo/Soi, Bartabwa
Eldama Ravine Lembus, Lembus Kwen, Ravine, Mumberes/Maji Mazuri, Lembus/Pekerra
Mogotio Mogotio, Emining, Kisanana
Tiaty Tirioko, Kolowa, Ribkwo, Silale, Loiyamorock, Tangulbei/Korossi, Churo/Amaya

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019)

  • Baringo Central 96,951
  • Baringo North 104,871
  • East Pokot 79,923
  • Koibatek 129,535
  • Marigat 90,955
  • Mogotio 91,104
  • Tiaty East 73,424

Tazama pia

Tanbihi

Tags:

Kaunti Ya Baringo UtawalaKaunti Ya Baringo Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]Kaunti Ya Baringo Tazama piaKaunti Ya Baringo TanbihiKaunti Ya Baringo2010Jamhuri ya KenyaKatiba ya KenyaKaunti za KenyaMwaka

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Magonjwa ya machoMasharikiUbatizoKilwa KivinjeMtakatifu PauloMahakamaRaiaViwakilishi vya pekeeHifadhi ya SerengetiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)SakramentiNdoa katika UislamuKisimaUbuyuAlasiriKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBahari ya HindiJacob StephenYoweri Kaguta MuseveniMkoa wa PwaniMlongeKupatwa kwa MweziWabena (Tanzania)Ligi ya Mabingwa AfrikaOrodha ya kampuni za TanzaniaKalenda ya KiislamuPasakaKalenda ya KiyahudiKiambishi awaliChadSiku tatu kuu za PasakaKitenzi kikuuUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiLatitudoKrismasiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKunguruNambaMkoa wa NjombeUgaidiMapambano kati ya Israeli na PalestinaMsitu wa AmazonSiafuAbrahamuNgono zembeMbeya (mji)Nomino za dhahaniaNgw'anamalundiJamhuri ya Watu wa ZanzibarKorea KusiniOrodha ya miji ya TanzaniaDeuterokanoniMeta PlatformsKonsonantiHistoria ya WasanguNamba za simu TanzaniaNguruweTanganyika (ziwa)Kupatwa kwa JuaTungo kishaziMziziUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaKombe la Dunia la FIFAShinikizo la juu la damuMohammed Gulam DewjiDhahabuNdoaHekaya za AbunuwasiMatamshiNahauFani (fasihi)Kaswende🡆 More