Kabari (kwa Kiingereza wedge) ni chombo kinachotumiwa kwa kupasua kitu au gimba, pia kwa kutenganisha vitu viwili vilivyoshikamana.
Umbo lake linafanana na pembetatu nyembamba.
Kifizikia inatumia kanuni za bapa betuko, hivyo inaitwa pia "mashine sahili".
Matumizi ya kila siku ni kupasua shina la mti kuwa kuni au kupasua jiwe. Kimsingi hata uwezo wa kisu au shoka wa kukatia unafuata mfano wa kabari maana vyote hutegemea kanuni za bapa betuko.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kabari, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.