Julian Huxley

Sir Julian Sorell Huxley (22 Juni 1887 – 14 Februari 1975) alikuwa mwanabiolojia na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza.

Anajulikana hasa kwa maandishi yake ya kisayansi aliyojaribu kuyafanya yaeleweke na watu wengi wa kawaida. Pia alikuwa mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO. Alipewa cheo cha Sir cha Uingereza mwaka wa 1958.

Julian Huxley
Julian Huxley

Huxley alizaliwa ndani ya familia maarufu. Kwa mfano, kaka yake ni mwandishi Aldous Huxley, na kaka mwingine ni mwanabiolojia Andrew Huxley, mshindi wa Tuzo ya Nobel; baba yake ni mwandishi na mhariri Leonard Huxley. Tena, babu yake aliyemzaa mamake ni mwanabiolojia T. H. Huxley, aliyefanya kazi na kumsaidia Charles Darwin.

Viungo vya nje

Julian Huxley 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Insha

Marejeo

  • Clark, Ronald, W. 1968. "The Huxleys". McGraw-Hill
  • Huxley, J., 1957. "Transhumanism". Angalia kiungo cha insha hiyo huko juu.
  • Huxley, J., 1970. Memories. George Allen & Unwin, London.
  • Kevles, D. J., 1985. In The Name Of Eugenics. University of California Press.
Julian Huxley  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Huxley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

14 Februari18871958197522 JuniUNESCOUingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Adolf HitlerBustani ya EdeniMaziwa ya mamaUfufuko wa YesuBiashara ya watumwaYohane MbatizajiUjimaUyogaCéline DionKengeBikira MariaMwarobainiBaraza la mawaziri TanzaniaPamboMamaFArusha (mji)Kondomu ya kikeFeisal SalumJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaSomo la UchumiKongoshoSanaa za maoneshoGhanaJuma NatureUwanja wa Taifa (Tanzania)Ridhiwani Jakaya KikweteMarekaniKanuni za kifonolojiaJWimboDNAUhifadhi wa fasihi simuliziKishazi tegemeziOrodha ya nchi za AfrikaNeemaInternet Movie DatabaseOrodha ya nchi kufuatana na wakaziZuhura YunusSimon MsuvaMisriSaida KaroliWatakatifu wa Agano la KaleVieleziYoung Africans S.CLGBTKibweziKitabu cha IsayaAllahVivumishi vya kuoneshaKorea KaskaziniJohn Raphael BoccoWaheheUzalendoMadhehebuMkoa wa KigomaWangoniJay MelodyDiniSteve MweusiBabeliDhahabuKiumbehaiKitabu cha NehemiaUkoloniLindi (mji)Mkoa wa SingidaWasafwaDar es SalaamUsafi wa mazingiraWayao (Tanzania)Magonjwa ya machoIntanetiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu🡆 More