John Carew Eccles (27 Januari 1903 – 2 Mei 1997) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Australia.
Hasa alichunguza mawasiliano ya neva. Mwaka wa 1963, pamoja na Alan Hodgkin na Andrew Huxley alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Alipewa cheo cha "Sir".
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Eccles kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article John Eccles, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.