Idd el Fitr (Kiarabu: عيد الفطر ‘idu l-fiṭr; pia: Eid ul-Fitr, Id-Ul-Fitr, Iddul Fitri, Iddi al Fitr) ni sikukuu ya kiislamu inayomaliza mwezi wa Ramadan.
Kipindi cha kufunga kinamalizika kwenye sikukuu hiyo. Ni sherehe ya siku tatu.
Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa hilali umeonekana baada ya Ramadan.
Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. Misikiti na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.
Makala hii kuhusu Uislamu bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Idd el Fitr, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.