Hifadhi ya Taifa ya Kahuzi-Biega ni eneo lililohifadhiwa karibu na mji wa Bukavu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo .
Iko karibu na ukingo wa magharibi wa Ziwa Kivu na mpaka wa Rwanda .
Mnamo 1997, iliorodheshwa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia ulio Hatarini kwa sababu ya kukosekana kwa utulivu wa kisiasa katika eneo hilo, wimbi la wakimbizi, na kuongezeka kwa unyonyaji wa wanyamapori.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Kahuzi-Biega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hifadhi ya Taifa ya Kahuzi-Biega, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.