Durango (jina rasmi: Victoria de Durango) ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Durango.
Mji upo m 1890 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Durango | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Durango |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 436,830 |
Tovuti: www.unidosporti.gob.mx |
Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1560.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 463,830 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 10,041 km².
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Durango, Durango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Durango, Durango, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.