Burgenland (kwa Kijerumani pia: Burgenland) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 294.316 kwenye eneo la km² 3.965.
Mji mkuu ni Eisenstadt.
Waziri mkuu ni Hans-Peter Doskozil (SPÖ).
Jimbo la Burgenland limepakana na nchi za Slovakia, Hungaria na Slovenia na majimbo ya Austria Chini na Steiermark.
Eisenstadt ndio jiji kubwa tu lenye idadi ya wakazi zaidi ya 14,816.
Leitha, Wulka ndiyo mito ya Burgenland
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Burgenland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Burgenland, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.