Austria ya Chini (kwa Kijerumani: Niederösterreich) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.608.590 kwenye eneo la km² 19.177.
Mji mkuu ni Sankt Pölten.
Waziri mkuu ni Johanna Mikl-Leitner (ÖVP).
Austria ya Chini imepakana na Ujerumani na majimbo ya Austria Juu, Steiermark, Burgenland na Vienna.
Miji mikubwa ni pamoja na Sankt Pölten na Wiener Neustadt.
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Austria Chini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Austria Chini, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.