Kali Yuga

Kali Yuga (Devanāgarī: कलियुग, lit.

"Kipindi cha Kali" yaani "kipindi cha dhambi") ni kimoja cha vipindi vinne vya muda wa ulimwengu kufuatana na imani ya Uhindu.

Kali Yuga
Kalki na farasi wake

Kufuatana na imani hii, ulimwengu baada ya uumbaji una muda wake maalumu unaogawiwa kwa "yuga" au vipindi vinne. Ulimwengu unaanza baada ya kila uumbaji katika yuga au kipindi cha kwanza ambako nguvu ya kimungu ya karma inapatikana kwa nguvu kwa hiyo dunia inajaa maadili mema. Kila yuga nguvu ya karma inapungua hadi katika kipindi au yuga ya nne nguvu ya karma na maadili iko robo moja tu. Pepo baya kwa jina "Kali" anatawala yuga hii.

Kufuatana na maandiko ya Kihindu Kali Yuga hii ilianza 23 Januari 3102 BK. Wahindu walio wengi huamini yuga hii ina muda wa miaka 432,000. Imani hii inapatikana pia kati ya wafuasi wa Kalasinga

Marejeo

Viungo vya Nje

Tags:

DevanāgarīUhindu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BiasharaUundaji wa manenoLuhaga Joelson MpinaMichael JacksonMbuWilaya ya IlalaMkoa wa DodomaMashuke (kundinyota)HerufiMrijaUzalendoMaishaTabainiIsimuUpendoLenziChuo Kikuu cha DodomaVidonda vya tumboTulia AcksonUtoaji mimbaOrodha ya Marais wa ZanzibarMeridianiBaruaMrisho MpotoUandishiMoscowHadithi za Mtume MuhammadNathariPumuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaTawahudiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMafumbo (semi)MadhehebuWilaya za TanzaniaKinyongaKiimboKongoshoUbongoNdovuDiniYoung Africans S.C.Jumuiya ya MadolaBibi Titi MohammedKupakua (tarakilishi)UkimwiWairaqwLughaFasihi simuliziUongoziMlima wa MezaMkoa wa TangaJohn Samwel MalecelaMkoa wa SongweUnyevuangaSayansiManchester CityMkoa wa ArushaVipimo asilia vya KiswahiliKata za Mkoa wa Dar es SalaamVivumishi vya -a unganifuRaiaAdolf HitlerWilaya ya KigamboniVielezi vya namnaWabunge wa kuteuliwaMhandisiHistoria ya WapareRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniAfrika Mashariki 1800-1845Millard AyoNyongoDodoma (mji)🡆 More