Uuaji Wa Manuel Ellis

Manuel Ellis alikuwa mtu Mweusi mwenye umri wa miaka 33 ambaye alifariki mnamo Machi 3, 2020, wakati alipokamatwa na maafisa wa polisi huko Tacoma, Washington.

Idara ya sherifu ya jimbo la Pierce hapo awali ilidai kuwa Ellis alishambulia gari la polisi na kisha kuwashambulia maafisa, na kupelekea kukamatwa. Waendesha mashtaka wa serikali waliwanukuu mashahidi wa kiraia wakisema kwamba Ellis hakushambulia gari la polisi au maafisa; walisema pia ni maafisa ndio walioanzisha matumizi ya nguvu kwa Ellis baada ya mazungumzo. Video ya tukio hilo ilionyesha maafisa wakimpiga Ellis mara kwa mara, kumkaba, kwa kutumia kiwiko, na kumpigisha magoti. Waendesha mashtaka wa serikali walisema kwamba "Ellis hakuwa akipigana", wakitoa maelezo ya mashahidi na ushahidi wa video. Rekodi ya redio ya polisi ilionyesha kuwa Ellis alisema "hawezi kupumua".

Marejeo

Tags:

JimboPolisiRedioTacoma, WashingtonUshahidiVideoWashington

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya WapareBiasharaBarua rasmiMkoa wa ShinyangaMkoa wa KigomaMsituDhamiraOrodha ya milima ya TanzaniaChristina ShushoHaki za watotoShairiTiktokMwakaSanaa za maoneshoMsamiatiRohoUnyenyekevuKimara (Ubungo)PijiniBaraza la mawaziri TanzaniaCleopa David MsuyaWashambaaLigi Kuu Tanzania BaraJakaya KikweteUislamuViwakilishi vya urejeshiAustraliaBahashaNgamiaUwanja wa Taifa (Tanzania)ZakaMfumo katika sokaMpira wa miguuAfrikaPunyetoIsimuYouTubeTawahudiHaitiUnyevuangaDiamond PlatnumzKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMwanzoMobutu Sese SekoAmina ChifupaRisalaWikipediaManispaaAsili ya KiswahiliSheriaAfrika KusiniEdward SokoineMeno ya plastikiKutoka (Biblia)April JacksonWakingaKinembe (anatomia)TafsiriJava (lugha ya programu)Taswira katika fasihiKanye WestNg'ombeMwamba (jiolojia)NuktambiliRupiaBendera ya TanzaniaVita ya Maji MajiTupac Shakur🡆 More