Uuaji

Uuaji (kwa Kiingereza: homicide) kwa macho ya sheria ni tendo la mtu mmoja linalosababisha kifo cha mtu mwingine.

Uuaji
Uaji katika nyumba - taswira ya Jacub Schikaneder (1890)

Uuaji kwa maana hiyo unahitaji tendo la mtu ambalo limelengwa, unaweza kutokana kwa bahati mbaya, kwa kutojali au kupuuza hata bila nia ya kusababisha hasara, au kwa kusudi.

Kisheria mauaji huangaliwa kwa namna tofauti zinazoweza kutofautiana kati ya nchi na nchi kufuatana na mifumo mbalimbali ya sheria, kama ni jinai au la. Namna hizo ni pamoja na kuua bila kukusudia (Kuuwa bila kunuia, ing. manslaughter) au kuua kwa kukusudia (Kuua kwa kunuia, ing. murder), kujitetea, kujilinda, kuua vitani, kuua kwa amri ya wakubwa, au kutekeleza adhabu ya kifo.

Sheria zinazofuata mapokeo ya Sheria ya Kiroma zinatofautisha mara nyingi kati ya mauaji yanayotekelezwa kwa kukusudia na bila kukusudia; sheria za nchi kama Marekani hutofautisha kati ya ngazi au uzito tofauti wa uuaji kwa kukusudia (first - second degree murder) ambayo haipo katika sheria zinazofuata mapokeo ya Uingereza kama Tanzania.

Kwa jumla dini zinakataza uuaji kama dhambi kubwa, ingawa si kila mara, hasa katika juhudi za kujihami dhidi ya mvamizi.

Marejeo

Viungo vya Nje

Kigezo:Wiki

Uuaji  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uuaji kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KifoKiingerezaSheria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SkeliKondoo (kundinyota)RohoKigoma-UjijiMaumivu ya kiunoTiba asilia ya homoniVirusi vya UKIMWIMamaMahakama ya TanzaniaJamhuri ya Watu wa ZanzibarDizasta VinaGhanaKiarabuKuhani mkuuMkanda wa jeshiMauaji ya kimbari ya RwandaKiunzi cha mifupaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaUoto wa Asili (Tanzania)MaghaniNyweleRamadan (mwezi)MaadiliTiktokBaruaKiboko (mnyama)UgonjwaNamba tasaSheriaMbwana SamattaMapafuInsha ya wasifuKiraiUandishiBabeliUlayaMaana ya maishaDiniSean CombsJackie ChanMaishaOrodha ya viongoziLigi ya Mabingwa AfrikaMkoa wa PwaniMacky SallUkoloniUajemiKukuUbaleheKima (mnyama)WikimaniaDamuWagogoMashariki ya KatiMapinduzi ya ZanzibarHekaya za AbunuwasiMsibaKamusi za KiswahiliAgano JipyaSinagogiFasihi simuliziBinamuDuniaOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaAunt EzekielTesistosteroniItikadiUkristo barani AfrikaKupatwa kwa MweziOrodha ya Marais wa BurundiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaChakulaUjima🡆 More