Pes 2018

PES 2018 (imefafanuliwa kama Pro Evolution Soccer 2018) ni mchezo wa kompyuta uliyoandaliwa na PES Productions na kudhaminiwa na Konami kwa ajili ya programu zifuatazo: Microsoft Windows, PlayStation 3, PlayStation 4, Xbox 360 na Xbox One.

Pes 2018
PES 2018 wakiwa kwenye mkutano

Mchezo huu ni toleo jipya katika PES Productions, ulianzisha rasmi mwezi Septemba 2017.

Pro Evolution Soccer 2018 imepokea "maoni mazuri" kwa wakosoaji. Mtazamaji wa tovuti ya aggregator Metacritic alitoa toleo la PlayStation 4 alama ya 83/100.

Pes 2018 Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu PES 2018 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KompyutaMchezoMicrosoft WindowsPlayStation 3PlayStation 4Programu ya kompyutaXbox 360Xbox One

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maneno sabaKumaMbuUkoloniOrodha ya Marais wa BurundiHarusiZama za MaweSaharaMaambukizi ya njia za mkojoKanzuBrazilAgano JipyaMnyamaBinadamuUti wa mgongoWanyamweziMsitu wa AmazonSayariItikadiHistoriaUtegemezi wa dawa za kulevyaUjasiriamaliKwaresimaTiba asilia ya homoniMichezo ya watotoKalenda ya KiislamuHistoria ya Kanisa KatolikiUandishiNgamiaJacob StephenSanaaTundaHistoria ya EthiopiaJustin BieberAngahewaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKiarabuNabii IsayaMtaalaUrusiMgawanyo wa AfrikaBinamuArudhiIdi AminKigoma-UjijiWajitaMnara wa BabeliMatamshiRadiTarafaWahayaIsraeli ya KaleAina za udongoKadi za mialikoWameru (Tanzania)Mbaraka MwinsheheLigi Kuu Tanzania BaraUgonjwa wa moyoMkoa wa ShinyangaMaumivu ya kiunoBiasharaUtapiamloSemiMkoa wa KageraPasakaDiamond PlatnumzNamba ya mnyamaPasifikiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiItifakiBikira MariaLionel Messi🡆 More