Msitu Mweusi ni eneo la milima katika jimbo la Baden-Württemberg la Ujerumani kusini magharibi.
Milima yafunikwa na misitu minene hivyo jina la eneo "msitu mweusi".
Safu za Milima Mweusi zaelekea sambamba na bonde la Rhine kuanzia mpaka wa nchi tatu za Uswisi, Ufaransa na Ujerumani kwenda kaskazini kwa kilomita 160.
Mlima mkubwa ni Feldberg mwenye kimo cha mita 1,493m.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Msitu mweusi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.