Moravian Theological College

Moravian Theological College (Motheco) ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania).

Chuo cha moravian
Chuo cha moravian

Kilianzishwa Chunya mwaka 1969 na kuhamia Mbeya mwaka 1978.

Kilifundisha wachungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania pia wa Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.

Mwaka 1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.

Tangu 2005 Motheco ilikwisha kwa kuingia katika Chuo Kikuu Teofilo Kisanji.

Tags:

Kanisa la Moravian TanzaniaMbeyaMjiTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ItikadiSkautiKito (madini)KisimaKiswahiliJay MelodyBrazilRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniNyasa (ziwa)Unju bin UnuqPasifikiJumapili ya matawiHoma ya iniOrodha ya miji ya MarekaniKenyaRoho MtakatifuViunganishiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaZama za MaweEe Mungu Nguvu YetuUaCAFYoung Africans S.C.Fasihi andishiChombo cha usafiriOrodha ya milima ya TanzaniaOrodha ya milima mirefu dunianiKendrick LamarAustraliaSiku tatu kuu za PasakaMizimuYesuKoffi OlomideAdhuhuriOrodha ya viongoziWamasoniUkwapi na utaoNdiziVita Kuu ya Kwanza ya DuniaHistoria ya uandishi wa QuraniFigoHistoria ya KanisaKisasiliImaniMtende (mti)MasharikiNomino za wingiMarekaniKontuaRohoDhahabuMeliMaajabu ya duniaVita Kuu ya Pili ya DuniaHektariMawasilianoUsawa (hisabati)MachweoHistoria ya WokovuBiblia ya KikristoUpepoKairoBata MzingaNg'ombeUjimaWimboMishipa ya damuDiamond PlatnumzOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMnyamaWazaramoMaudhuiMuundo wa inshaSikukuuKichochoLahaja za Kiswahili🡆 More