Makumbusho Ya Wasukuma

Makumbusho ya Wasukuma ni makumbusho ya kijamii yanayopatikana Bujora, kijiji cha mkoa wa Mwanza nchini Tanzania.

Makumbusho Ya Wasukuma
Kabila la Wasukuma hutumia Pembe ya Ng'ombe katika ngoma zao

Makumbusho hayo yalianzishwa rasmi mwaka 1968 kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma

Msingi wa hifadhi ya Bujora uliwekwa katika miaka ya 1950 na Padri David Clement wa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) kutoka nchini Kanada. Malengo yake yalikuwa kuunganisha utamaduni wa Kisukuma na Ukristo, maarufu kama utamadunisho (kwa Kiingereza "inculturation").

Marejeo

Viungo vya nje

Makumbusho Ya Wasukuma  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Wasukuma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BujoraKijijiMakumbushoMkoa wa MwanzaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkristoMfumo wa JuaUgonjwa wa kuharaMalariaSensaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaUtoaji mimbaUshairiFasihiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaFigoKupatwa kwa JuaLatitudoJamhuri ya Watu wa ZanzibarUgonjwaStashahadaMasafa ya mawimbiEdward SokoineUsawa (hisabati)KisaweRiwayaTaswira katika fasihiMbuga za Taifa la TanzaniaDhima ya fasihi katika maishaMagonjwa ya kukuHadithi za Mtume MuhammadMofimuSanaa za maoneshoMatiniUlimwenguDamuGeorDavieUkristo nchini TanzaniaWizara za Serikali ya TanzaniaUtumwaPijiniChristina ShushoIndonesiaMauaji ya kimbari ya RwandaKisukuruKiingerezaMadhara ya kuvuta sigaraUbungoMnyamaMsamahaMbaraka MwinsheheHistoria ya IranMimba za utotoniNdoa katika UislamuUfahamuKiazi cha kizunguRejistaHerufiMafurikoKanye WestNileAsili ya KiswahiliVisakaleMitume wa YesuRupiaMapambano ya uhuru TanganyikaAgostino wa HippoMillard AyoMaktabaHistoriaManchester CityAfrika ya MasharikiWanyaturuMboo🡆 More