Kiloh-Toga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waloh na Watoga kwenye visiwa vya Torres.
Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiloh-Toga imehesabiwa kuwa watu 650. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiloh-Toga iko katika kundi la Kioseaniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiloh-Toga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kiloh-Toga, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.