José Echegaray Y Eizaguirre

José Echegaray y Eizaguirre (19 Aprili 1832 – 4 Septemba 1916) alikuwa mwanahisabati, mwanasiasa na mwandishi wa tamthiliya kutoka nchi ya Hispania.

Alianza kuandika tu alipofikisha umri wa miaka 42. Kabla ya kuwa mashuhuri kama mwandishi, alikuwa profesa wa hisabati na mwanasiasa (kwa mfano, aliteuliwa kuwa Waziri wa Fedha mwaka wa 1874). Mwaka wa 1904, pamoja na Frederic Mistral alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

José Echegaray Y Eizaguirre
José Echegaray Y Eizaguirre
José Echegaray y Eizaguirre alkua mshindi wa Tuzo ya Nobeli mwaka 1904
José Echegaray Y Eizaguirre Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Echegaray y Eizaguirre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

183219 Aprili19164 SeptembaFrederic MistralHispaniaTuzo ya Nobel

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hifadhi ya mazingiraMaambukizi ya njia za mkojoMaambukizi nyemeleziStadi za lughaYouTubeLigi Kuu Uingereza (EPL)KariakooShengUnyevuangaUmoja wa MataifaJokofuHomoniMillard AyoKisimaHedhiNambaVisakaleAntibiotikiKumaMilaFananiRayvannyTreniVielezi vya mahaliTambikoTarafaMkoa wa ArushaFasihi andishiPasakaMwamba (jiolojia)Nomino za wingiSayansiWangoniMchwaMuundo wa inshaPapa (samaki)Homa ya mafuaMkutano wa Berlin wa 1885Ala ya muzikiFutiWayback MachineDamuMwanamkeMunguMshubiriShinikizo la juu la damuAlizetiWizara ya Mifugo na UvuviMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiTungoJumuiya ya MadolaMbuniKisaweKanisaMtakatifu MarkoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaTafsiriDivaiVirusi vya CoronaWilaya ya Nzega VijijiniHistoria ya AfrikaMkoa wa KageraBiashara ya watumwaUgonjwa wa kuharaMjombaMsituOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaWakingaLigi Kuu Tanzania BaraKinembe (anatomia)Mbezi (Ubungo)Adolf HitlerMiundombinuKanye West🡆 More