Fred Erentz

Frederick Charles Erentz (Machi 1870 - 6 Aprili 1938) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu, ambaye alicheza kwenye timu ya Dundee Our Boys FC na Newton Heath miaka ya 1880, 1890 na mwanzoni mwa miaka ya 1900.

Fred Erentz
Fred Erentz

Maisha ya Awali

Alizaliwa huko Broughty Ferry nchini Uskoti, baba yake alikua Mdenmark. Erentz alianza maisha yake ya mpira wa miguu na timu ya Dundee Our Boys F.C. kama beki wa nyuma. Erentz alisajiliwa kwenye timu ya Newton Heath mnamo Juni mwaka 1892 na kuanza kujiandaa na msimu wao wa kwanza katika Ligi ya Soka.Alicheza mechi yake ya kwanza na Newton Heath tarehe 3 Septemba mwaka 1892 ambayo walicheza na timu ya Blackburn Rovers F.C. ..

Viungo vya nje

Marejeo

Tags:

18701880189019001938Manchester United FCMchezajiMpira wa miguuTimu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Aina za udongoJackie ChanMnyamaVidonge vya majiraUtamaduni wa KitanzaniaMongoliaElimuMafuta ya wakatekumeniUsultani wa ZanzibarMike TysonUchawiKatekisimu ya Kanisa KatolikiAina za manenoTungoWalawi (Biblia)TiktokUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaCristiano RonaldoKamusi ya Kiswahili sanifuAzimio la ArushaDubaiLigi Kuu Uingereza (EPL)Aina ya damuNandyAfrika KusiniLucky DubeAsiaXXUgonjwa wa moyoRushwaKadi za mialikoKairoKamusiUnju bin UnuqBiblia ya KikristoJumamosi kuuMaishaWaanglikanaKondomu ya kikeKiambishiOrodha ya Marais wa TanzaniaNomino za wingiMagonjwa ya kukuJogooWasukumaDhima ya fasihi katika maishaManchester CityNapoleon BonaparteKunguniHifadhi ya mazingiraJacob StephenTmk WanaumeMlongeOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKiungo (michezo)Mkoa wa KataviJay MelodyStadi za lughaKiingerezaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiShinikizo la juu la damuUfaransaUgandaUtandawaziDeuterokanoniOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMohamed HusseinVielezi vya idadiNdiziUrusiFigoAfrikaKiraiMaadiliWaheheMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoJini🡆 More