Filipo Ii Wa Masedonia

Filipo II wa Masedonia (kwa Kigiriki: Φίλιππος Β΄ ὁ Μακεδών, Phílippos II ho Makedṓn; 382 KK – 336 KK) alikuwa mfalme wa Masedonia katika Ugiriki wa Kale kuanzia mwaka 359 KK hadi alipouawa.

Filipo Ii Wa Masedonia
Sanamu ya Filipo II.

Mnamo 500 KK kulikuwako ufalme ulioitwa Masedonia ambao ulihesabiwa kama sehemu ya utamaduni wa Ugiriki wa kale na wafalme waliruhusiwa kwenye michezo ya Olimpiki ya madola ya Wagiriki.

Pamoja na sehemu nyingi za Ugiriki ufalme huo ulipaswa kukubali ubwana wa Milki ya Uajemi, lakini Filipo alifaulu kuurudisha uhuru akaendelea kuifanya Masedonia kuwa dola kiongozi kati ya madola madogo ya Ugiriki.

Mwanawe Aleksanda Mkuu aliimarisha utawala wake juu ya Wagiriki wengine na kushambulia Milki ya Uajemi na hatimaye kuivamia na kuishinda kwa jeshi kutoka sehemu zote za Ugiriki.

Tanbihi

Viungo vya nje

Filipo Ii Wa Masedonia 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Filipo Ii Wa Masedonia  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Filipo II wa Masedonia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

336 KK359 KK382 KKKigirikiMasedoniaMfalmeMwakaUgiriki wa Kale

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KukuWimboNamba ya mnyamaMwanza (mji)Upinde wa mvuaNdege (mnyama)UtapiamloUkwapi na utaoIsaPesaNgono zembeRené DescartesMnyamaKairoThe MizKiswahiliMlongeJohn MagufuliWilaya ya KilindiUkristoMkoa wa MorogoroManiiKondoo (kundinyota)WasukumaBaraza la mawaziri TanzaniaPasakaUgonjwaChadAdolf HitlerOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaUbuyuAlhamisi kuuNchiNabii IsayaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)UfaransaUkomboziBahari ya HindiKiingerezaMoyoAlomofuKombe la Mataifa ya AfrikaJoseph Leonard HauleJohn Raphael BoccoUkooInjili ya YohaneUgonjwa wa moyoKilwa KivinjeMalariaHistoria ya ZanzibarArusha (mji)TamthiliaIsimujamiiKitabu cha ZaburiKiwakilishi nafsiFasihi ya KiswahiliMike TysonChama cha MapinduziRaiaRushwaSanaa za maoneshoJinsiaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Orodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaMaradhi ya zinaaMapambano kati ya Israeli na PalestinaNapoleon BonaparteSentensiKarne ya 18🡆 More