Bogota

Bogota (jina kamili: Santa Fe de Bogotá) ni mji mkuu wa Kolombia pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi milioni saba takriban.

Jiji la Bogota
Nchi Kolumbia
Tovuti:  www.bogota.gov.co
Bogota
Kanisa kuu la kale la Bogota

Mji uko katika nyanda za juu kwenye kimo cha 2,640 m juu ya UB kati ya milima ya Guadalupe (3,317 m) na Monserrate (3,100 m).

Mji ulianzishwa na Mhispania Gonzalo Jiménez de Quesada tar. 6 Agosti 1538 kwenye mahali pa soko la Wachibcha lililoitwa "Bacata". Quesada alitumia jina la "Santa Fe" (kihisp.: "imani takatifu") kutokana na mji wa Hispania alikotokea mwenyewe.

Baadaye mji uliongezewa jina la pili "Bogota" kutokana na jina asilia "Bacata". Jina kamili lilikuwa "Santa Fe de Bogota".

Viungo vya nje

Bogota 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Bogota  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bogota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KamusiFonolojiaAndalio la somoWanyama wa nyumbaniTamthiliaJohn MagufuliKinjikitile NgwaleMazungumzoKichochoTawahudiDhorubaTabianchiMafurikoOrodha ya Marais wa TanzaniaStephane Aziz KiRufiji (mto)AkiliRedioHaki za watotoMlongeParachichiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKitenzi kikuuMsitu wa AmazonNdoo (kundinyota)LafudhiHadhiraFalsafaTungo kishaziWatutsiKaterina wa SienaLuhaga Joelson MpinaHistoria ya KanisaMjasiriamaliBahashaViwakilishi vya -a unganifuMajira ya baridiSheriaMbuga wa safariNjia ya MachoziAsiaMkoa wa PwaniMamelodi Sundowns F.C.Joyce Lazaro NdalichakoMkoa wa KageraTungo kiraiBahari ya HindiMkoa wa SimiyuSokwe (Hominidae)Mnyoo-matumbo MkubwaViwakilishi vya urejeshiApple Inc.DivaiFananiFisiHistoria ya IsraelKishazi huruAfrikaNafsiKakakuonaTundaMuda sanifu wa duniaOrodha ya visiwa vya TanzaniaMwislamuWaziriKisimaNyangumiLughaMwandishiWakingaWikipediaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiSabato🡆 More