Benki Ya Letshego Tanzania Limited

Benki ya Letshego Tanzania Limited, inajulikana kama Letshego Bank, ni benki ya biashara iliyopo Tanzania.

Imepewa dhamana ya kibenki na Benki Kuu ya Tanzania na bodi ya mifumo ya kibenki ya taifa.

Letshego Bank Tanzania ni benki ya kibiashara inayo ngozwa na Benki kuu ya Tanzania Dhumuni lake kijamii ni kutoa huduma inayokidhi na inayohitajika kifedha kwa watu wa chache, kundi dogo na kundi la watu wa kawaida wajasiriamali na kwa wale wachache waajiriwa wenye kipato kidogo. Pia inafanya kazi kama benki ndogo ya kifedha Kwa mwezi machi 2014 wamiliki waliongeza uwezo kwa €5.2 milioni (US $6.5 milioni au TZS 11.4 bilioni. Kwa muda huo wateja waliwekeza kiasi cha jumla ya €1.8 milioni au (US $2.23 sawa na TZS3.9 Bilioni) . Pia inakadiriwa kuwa jumla ya uwekezaji wote kwa mwez machi 2014 ni €7.0 milioni ( US $8.7 milioni au TZS 15.3 Bilioni.

Marejeo

Benki Ya Letshego Tanzania Limited  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Letshego Tanzania Limited kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BenkiBiasharaTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa wa kupoozaWabena (Tanzania)Chuo Kikuu cha Dar es SalaamKisasiliSemantikiMjasiriamaliNairobiMagonjwa ya machoUhifadhi wa fasihi simuliziUbuyuFaraja KottaMtiTarakilishiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaSaida KaroliBikira MariaItaliaHarusiUenezi wa KiswahiliWiktionaryVita ya Maji MajiSalamu MariaMkoa wa PwaniMfumo wa JuaKamusi ya Kiswahili sanifuHistoria ya WasanguKisononoUnyanyasaji wa kijinsiaKupatwa kwa MweziManeno sabaMnyamaFani (fasihi)MisemoJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUjamaaKitenzi kikuuUfahamuBotswanaVitendawiliBabeliUNICEFMaadiliTashtitiMgawanyo wa AfrikaUwanja wa Taifa (Tanzania)KataIsimuJomo KenyattaShinikizo la juu la damuOrodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaMtaalaShinaMapambano ya uhuru TanganyikaAngkor WatMalariaSemiMohamed HusseinSerikaliVitenzi vishirikishi vikamilifuDiniAfrika ya Mashariki ya KijerumaniTashihisiArusha (mji)Uandishi wa barua ya simuMkoa wa RukwaKondoo (kundinyota)Orodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoUtamaduniCristiano RonaldoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMkungaKombe la Mataifa ya Afrika🡆 More