Bartolomeu Dias (1451 hivi – 29 Mei 1500 ), sharifu wa ukoo wa kifalme wa Ureno, ni maarufu kama Mzungu wa kwanza kuzunguka bara la Afrika toka kaskazini magharibi hadi mashariki kwa Rasi ya Tumaini Jema (1488), akifungua njia ya kwenda India kupitia baharini.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bartolomeo Dias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bartolomeo Dias, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.