Podgorica

Podgorica (Kiserbia: Подгорица tamka pod-go-ri-tsa)ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Montenegro mwenye wakazi 140,000.

Iko kwa 42°28′12″N, 19°16′48″E pale ambako mito ya Ribnica na Morača inapokutana. Mji uliitwa Titograd kati ya 1946 hadi 1992.

Podgorica
Mahali pa Podgorica nchini Montenegro

Mji umejulikana tangu 1326 ulikuwa sehemu ya ufalme wa Serbia. Tangu 1466 ilitawaliwa na Waosmani hadi 1878 wakati Montenegro ilipopata uhuru wake.

Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia mji ukawa mji mkuu wa jamhuri ya Montenegro ndani ya shirikisho la Yugoslavia. Umeendelea kuwa mji mkuu tangu uhuru wa nchi mwaka 2006.

Picha za Podgorica

Podgorica  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Podgorica kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AjKiserbiaMontenegro

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Homa ya mafuaRitifaaOrodha ya mito nchini TanzaniaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKunguniUkabailaUhuru wa TanganyikaMitume na Manabii katika UislamuKamusi ya Kiswahili - KiingerezaLahaja za KiswahiliMweziAgano la KaleMajeshi ya Ulinzi ya KenyaShambaWajitaInsha ya wasifuBibi Titi MohammedRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniAlgorithimu uchanguajiSalim Ahmed SalimMfumo wa mzunguko wa damuNileKumaMapambano ya uhuru TanganyikaAmina ChifupaRwandaWaluguruHekimaUkristo barani AfrikaKiburiUaTanzaniaWimboMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaLugha rasmiUandishi wa barua ya simuMtandao wa kijamiiHeshimaTabianchi ya TanzaniaNusuirabuManchester CityJoziMisriMorogoro VijijiniJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWilaya ya UbungoJiniHistoria ya KiswahiliMaji kujaa na kupwaWabunge wa kuteuliwaMadhehebuWasukumaMasadukayoNamba tasaOrodha ya kampuni za TanzaniaMaambukizi nyemeleziUtandawaziJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaBendera ya TanzaniaWanyama wa nyumbaniAina za udongoMtiAngahewaMvua ya maweMtandao wa kompyutaMuhimbiliNomino za wingiFB🡆 More