Moto Wa Pasaka

Moto wa Pasaka au Moto mpya unawashwa hasa wakati wa kesha la Pasaka ukimaanisha mwanzo mpya wa uhai uliosababishwa na ufufuko wa Yesu.

Moto Wa Pasaka
Watu wakifurahia Moto wa Pasaka huko Eibergen, 2006.

Katika moto huo, unaotakiwa kuondoa giza la ulimwengu, unawashwa mshumaa wa Pasaka ambao unamwakilisha Yesu mfufuka ambaye anaongoza waamini kama vile mnara wa nuru ulivyowaongoza Waisraeli jangwani wakati wa Musa.

Mbali na liturujia, katika nchi mbalimbali kuna desturi za kuwasha moto wa namna hiyo, hata siku moja kabla au baada ya Pasaka.

Huko Uholanzi kati ya vijiji kadhaa kuna mashindano kuhusu nani atawasha moto mzuri zaidi. Ule mrefu zaidi ulifikia mita 45.98.

Tanbihi

Viungo vya nje

Moto Wa Pasaka 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

KeshaPasakaUfufuko wa YesuUhai

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya watu maarufu wa TanzaniaMwanga wa juaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMtende (mti)Kamusi ya Kiswahili sanifuNg'ombeNyangumiKaskazini28 MachiMrisho NgassaZuhuraWangoniKiambishi tamatiSoko la watumwaMuzikiAla ya muzikiVieleziKodi (ushuru)TreniSamliMkoa wa KageraBarua pepeAmaniKitabu cha ZaburiUbatizoShirikisho la MikronesiaChunusiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUfaransaKanga (ndege)KiongoziThamaniOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKiranja MkuuKamusi ya Kiswahili - KiingerezaUlayaMafurikoMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya vitabu vya BibliaHewaSimon MsuvaJShairiLugha ya kigeniMapambano ya uhuru TanganyikaKonsonantiNyweleTungoMlongeMajira ya baridiAli Mirza WorldUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiChuraMkoa wa Unguja Mjini MagharibiSkeliUpendoMbuniUenezi wa KiswahiliNembo ya TanzaniaOrodha ya Marais wa ZanzibarSomaliaNovatus DismasMkoa wa MtwaraMimba kuharibikaMkoa wa ManyaraMawasilianoHistoria ya UrusiNyanja za lughaBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaLibidoJokate MwegeloJohn MagufuliMariooMfumo wa mzunguko wa damuKitenzi kikuuNgano (hadithi)🡆 More