Kilepcha

Kilepcha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi, Nepal na Bhutan inayozungumzwa na Walepcha.

Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilepcha nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 50,600. Pia kuna wasemaji 7500 nchini Nepal (2011) na wasemaji 2000 nchini Bhutan (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilepcha iko katika kundi lake lenyewe la Kilepcha.

Viungo vya nje

Kilepcha  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilepcha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BhutanLugha za Kisino-TibetiNepalUhindi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ElimuSimon PeggPopoBiblia ya KikristoHistoria ya WokovuMorokoEdward SokoineBarcelona F.C.GKatekisimu ya Kanisa KatolikiOrodha ya Marais wa MarekaniMkoa wa LindiNamba ya mnyamaWahaLes WanyikaPunyetoMontrealIlluminatiMahakamaKiwakilishi nafsiJames BondInshaWahadzabeMr. BlueNajisiKiazi kikuuMeno ya plastikiMbuga za Taifa la TanzaniaKima (mnyama)Agano JipyaKarafuuVitendawiliMkoa wa KageraChawaUfahamuKalenda ya KiislamuAngel NyiguAthari za muda mrefu za pombeASalaNuhuBob MarleyMahindiTanganyikaMsamiatiJinsiaHistoria ya UrusiMatengenezo ya KiprotestantiKanga (ndege)Jamhuri ya Watu wa ZanzibarMartin LutherMafua ya kawaidaUholanziTaswira katika fasihiRomaHoma ya matumboJohn Momose CheyoHekimaVipera vya semiBakari Nondo MwamnyetoTanescoTafsidaKisaweTamthiliaMavaziLafudhiWikipedia ya KirusiUbongoMkoa wa NjombeMalipoMalaikaJiniKilimoMaambukizi ya njia za mkojoVincent Kigosi🡆 More