Karelia

Karelia ni mkoa ulioko nchini Urusi.

Karelia
Sehemu ya mkoa wa Karelia.
Karelia
Mahali pa Karelia katika Russia.
Karelia

Mji mkuu wake ni Petrozavodsk.

Historia

Karelia ilikaliwa na wakazi wanaoongea Kifini. Kwa muda mrefu maeneo yake yaligombaniwa baina ya Urusi na Uswidi.

Tangu mwaka 1721 sehemu kubwa ya Karelia ilikuwa sehemu ya Milki ya Urusi, sehemu nyingine ilibaki upande wa Uswidi ikawa baadaye sehemu ya ufalme mdogo wa Ufini ndani ya milki ya Urusi.

Baada ya uhuru wa Ufini mnamo 1918, Wakarelia walijikuta katika nchi mbili tofauti. Baada ya Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland, sehemu kubwa ya Karelia ya Ufini ilihamishwa upande wa Urusi.

Umoja wa Kisovyeti ilipeleka Warusi na Waukraina wengi Karelia, hivyo asilimia ya watu wanaoendelea kusema Kifini imepungua sana.

Tazama pia

Karelia  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karelia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MkoaUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DaktariSimbaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMatumizi ya LughaMaana ya maishaKipandausoUfaransaUtoaji mimbaNovatus DismasOrodha ya Watakatifu WakristoMashineMlongeMfupaInjili ya MathayoDesturiDhambiSimba S.C.WakingaHaki za watotoMwakaDiamond PlatnumzMimba za utotoniAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuHarrison George MwakyembeHali maadaBinamuNdege (mnyama)MandhariSwalahAndalio la somoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiMbwaLilithKatekisimu ya Kanisa KatolikiSalama JabirBunge la TanzaniaVivumishi vya ambaMeliKalamuKoalaKiongoziShambaWimboMartin LutherAzimio la ArushaNdoaMkoa wa KigomaJinaRohoFigoVielezi vya mahaliSimon MsuvaMlo kamiliIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)HeshimaTeziAmri KumiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaEe Mungu Nguvu YetuSinagogiCédric BakambuKiangaziPundaRitifaaKukuOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaTungo kishaziMeno ya plastikiMizimuWamasaiUturukiUkwapi na utaoVladimir Putin🡆 More