Czesław Miłosz

Czeslaw Milosz (30 Julai 1911 – 14 Agosti 2004) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Poland.

Tangu mwaka wa 1951 aliishi katika nchi ya Ufaransa, na 1960 alihamia Marekani. Nje ya kutunga mashairi mengi, aliandika pia insha na kutafsiri. Mwaka wa 1969 alitolea kitabu kuhusu historia ya fasihi ya Poland. Mwaka wa 1980 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Czesław Miłosz
Czesław Miłosz
Czeslaw Milosz, mwaka wa 1998 (picha imepigwa na Mariusz Kubik).
Czesław Miłosz Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Czesław Miłosz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

14 Agosti1911200430 JulaiMarekaniPolandTuzo ya NobelUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MajiKanisaMkoa wa SingidaNyegeMfumo wa upumuajiTafakuriZiwa ViktoriaAfrika KusiniNyaniAli Hassan MwinyiMshubiriUingerezaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNgeliNimoniaMkoa wa SimiyuJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaOrodha ya kampuni za TanzaniaWilaya ya TemekeUpinde wa mvuaMachweoFasihi simuliziFonolojiaUandishi wa ripotiNdoaVivumishi vya pekeeTungo kishaziMavaziAdolf HitlerSinagogiDuniaHifadhi ya SerengetiBloguSiasaVivumishiHistoria ya IranBiasharaSumakuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoImaniSimbaJose ChameleoneViwakilishi vya pekeeKomaMaambukizi ya njia za mkojoOrodha ya mito nchini TanzaniaSimuRoho MtakatifuTamthiliaSah'lomonKarafuuPentekosteAthari za muda mrefu za pombeRohoKipazasautiSodomaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMnyamaUsanifu wa ndaniAnwaniAfrika Mashariki 1800-1845Dini asilia za KiafrikaKamusiUbongoJoyce Lazaro NdalichakoNileTungo kiraiUkwapi na utaoKupatwa kwa JuaWaziriWilaya ya KinondoniMusaMbezi (Ubungo)NdovuMtandao wa kompyuta🡆 More