Artashat (kwa Kiarmenia: Արտաշատ; kwa Kigiriki Artaxata: au Ἀρτάξατα) ni mji uliopo kwenye eneo la Moto Araks katika bonde Ararat.
Huo ni mji mkuu wa Mkoa wa Ararat nchini Armenia na ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Armenia. Leo hii Artashat ni moja kati ya sehemu ya miji ya kisasa nchini.
Jina la mji linatokana na lugha ya Kiirani ikiwa na maana ya “furaha ya Asha.” Idadi ya wakazi wa mjini hapa imekadiriwa kuwa 35,100.
Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Artashat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Artashat, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.