Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1880 ulikuwa wa 24 katika historia ya Marekani.
Ukafanywa Jumanne tarehe 2 Novemba. Upande wa "Republican Party", James Garfield (pamoja na kaimu wake Chester Arthur) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Winfield Scott Hancock (pamoja na kaimu wake William Hayden English).
Garfield akapata kura 214, na Hancock 155. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1880, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.