Nusujira

Katika jiometria, jira kuu la duaradufu ni kipenyo chake kirefu zaidi: mstari unaounganisha kitovu, fokasi mbili, na nukta mbili za mbali zaidi katika mzingo.

Nusujira kuu ni nusu ya jira kuu. Nusujira ndogo ni mstari unaoumba pembemraba kwa nusujira kuu, na ambao una kikomo kimoja katika kitovu cha sehemu pia. Kwa mfano wa duara, nusujira kuu na nusujira ndogo zina urefu sawa na nusukipenyo ya duara. 

Nusujira
Nusujira kuu (a); nusujira ndogo (b); fokasi (F1 na F2); kitovu (C)
Nusujira Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nusujira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DuaraDuaradufuJiometriKipenyoMzingo (jiometria)NuktaNusukipenyoPembemrabaUrefu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ukwapi na utaoMfuko wa Mawasiliano kwa WoteRicardo KakaSinagogiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKanisa KatolikiMunguMartin LutherRisalaVivumishi vya -a unganifuMichael JacksonKinembe (anatomia)JamiiAbedi Amani KarumeWilaya ya KinondoniWilaya ya ArushaNduniUandishiWaluguruWayback MachineYouTubeNevaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMwana FAIkwetaNgeliMaambukizi nyemeleziJuxMatiniTume ya Taifa ya UchaguziHistoria ya AfrikaMaambukizi ya njia za mkojoNguzo tano za UislamuStashahadaSimbaTabataBibliaAunt EzekielBiashara ya watumwaHistoria ya UislamuOrodha ya makabila ya TanzaniaKifaruMungu ibariki AfrikaTanzaniaMethaliUsafi wa mazingiraUNICEFMamba (mnyama)UtandawaziMfumo wa JuaHaki za wanyamaAmri KumiUyahudiMnyamaNgonjeraMkoa wa MbeyaViwakilishi vya idadiIsimujamiiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaZabibuMusaKamusiDodoma (mji)Arsenal FCHistoria ya WasanguLiverpoolVita Kuu ya Kwanza ya DuniaViwakilishiOrodha ya kampuni za TanzaniaTupac ShakurBarua rasmiMkunduKiambishi awaliMkoa wa ShinyangaMoyo🡆 More