Harambee

Harambee ni neno ambalo lilitungwa na hayati Mzee Jomo Kenyatta (rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya) ili kuwapa motisha wafanyakazi na hasa wale wanaofanya kazi nzitonzito.

Harambee hutoka kwa neno la Kihindi, Har Ambee, ambalo ni sifa kwa miungu wa kihindi wawape nguvu na uwezo wa kufanya kazi.

Neno hili lilisikika sana wakati wahindi walitumiwa kama vibarua wa kutengeneza reli kati ya Nairobi na Mombasa.

Kisha likatoholewa na mwishowe likaja kujulikana kumaanisha "tuvute pamoja"

Viungo vya nje

Harambee  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harambee kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Jomo KenyattaKenya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vita vya KageraAfyaSeli nyekundu za damuPius MsekwaMafurikoAmani Abeid KarumeJoziNg'ombeGeorDavieKylian MbappéOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoSimbaTanzania Breweries LimitedMatiniWatutsiNgeliMandhariTabianchiVipera vya semiMwarobainiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMapambano ya uhuru TanganyikaSomo la UchumiLigi ya Mabingwa UlayaUkristoUshairiMmomonyokoTeknolojiaUzazi wa mpangoSinzaMunguHakiUgonjwa wa kuharaChumba cha Mtoano (2010)Maambukizi ya njia za mkojoBikira MariaMnyamaSisimiziMkurugenziVielezi vya mahaliKamusi za KiswahiliNyanya chunguMbaazi (mmea)HadhiraKumamoto, KumamotoMaradhi ya zinaaUmoja wa MataifaShikamooMuda sanifu wa duniaMagonjwa ya kukuFisiMaskiniWitoAmri KumiAsiaOrodha ya Marais wa ZanzibarVihisishiJumuia ndogondogo za KikristoUNICEFSautiZana za kilimoVidonda vya tumboOrodha ya Marais wa TanzaniaMwakaMazungumzoKata (maana)Diamond PlatnumzDodoma (mji)Orodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMalaikaKisaweUsafi wa mazingiraOrodha ya Marais wa Kenya🡆 More