Guillermo Martín Abanto Guzmán (amezaliwa 1 Julai 1964) ni askofu msaidizi Mkatoliki nchini Peru.
Aliwekwa wakfu na Kardinali Cipriani Thorne mwaka wa 2009. Tangu mwaka huo ni askofu msaidizi wa Dayosisi ya Lima na askofu wa Dayosisi ya Pinhel.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Guillermo Martín Abanto Guzmán, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.