Antoni Wa Kiev

Antoni wa Kiev au Antoni Pekerski (kwa Kirusi Антоний Печерский; kwa Kiukraina Антоній Печерський; Liubek, 983 hivi - Kiev, 7 Mei 1073) alikuwa mkaapweke kwenye mlima Athos (Ugiriki) hadi alipotumwa kurudi kwao kueneza umonaki katika sehemu za Kiev (leo nchini Ukraina) zilizopokea Ukristo tangu muda mfupi.

Antoni Wa Kiev
Picha takatifu ya Mt. Antoni.

Baada ya kuanzisha monasteri kadhaa, alirudi upwekeni kwenye mlima Athos hadi alipotumwa tena Kiev ambapo, pamoja na Theodosi wa Kiev alianzisha ile maarufu ya Mapango ya Kiev.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Mei lakini pia tarehe 23 Julai.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Antoni Wa Kiev  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

7 Mei9831073KievKirusiKiukraineMkaapwekeMlima AthosMudaUgirikiUkrainaUkristoUmonaki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ali KibaUandishi wa ripotiKiumbehaiArusha (mji)RupiaMajira ya mvuaRedioLughaMisimu (lugha)Wayback MachineMikoa ya TanzaniaKoroshoMchwaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuAgano la KaleKoloniHoma ya matumboMsamiatiMadhara ya kuvuta sigaraAzimio la ArushaTungo kiraiUchaguziVihisishiKata za Mkoa wa Dar es SalaamNusuirabuUsanifu wa ndaniMazungumzoBiasharaUjimaKukuMobutu Sese SekoMunguNgonjeraVichekeshoNguruweChuo Kikuu cha Dar es SalaamSilabiTanganyika African National UnionRicardo KakaUtumbo mwembambaC++SemiAbedi Amani KarumeAmina ChifupaNgono zembeKipazasautiIkwetaVita vya KageraKamusi ya Kiswahili sanifuUbongoInjili ya MarkoAgano JipyaMivighaSanaaKata za Mkoa wa MorogoroMbeya (mji)UkimwiKabilaMtumbwi25 ApriliHistoria ya IranUlayaImaniUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiAlizetiMnyoo-matumbo MkubwaWimboSayariNgiriHalmashauriWanyaturuMaudhui katika kazi ya kifasihiSamia Suluhu HassanNguruwe-kaya🡆 More