Afya ya msingi (kifupi cha Kiingereza ni PHC) ni mbinu mpya ya huduma za afya baada ya mkutano wa kimataifa katika Alma Ata mwaka wa 1978 ulioandaliwa na Shirika la Afya Duniani na UNICEF.
Afya ya msingi ilikubaliwa na nchi wanachama wa WHO kama hatua muhimu kufikia lengo la Afya kwa wote. Kwa vile watu duniani kote wanakufa moyo zaidi na zaidi katika utowajibikaji wa mifumo ya afya ya leo na huduma za kukidhi mahitaji yao, wito wa mfumo mpya wa afya ya msingi - na afya kwa wote - unaongezeka.
Wikisource has original text related to this article: |
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Afya ya msingi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Afya ya msingi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.