Mkoa wa Kırşehir ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki, unaunda kuwa kama moja kati ya sehemu za kanda ya Anatolia ya kati.
Upo mita 985 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji mkuu wake ni Kırşehir.
Mkoa wa Kırşehir | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Kırşehir nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 6,570 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 238,807 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 40 |
Kodi ya eneo: | 0386 |
Tovuti ya Gavana | http://www.kırşehir.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/kırşehir |
Kırşehir province is divided into 7 districts (capital district in bold):
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kırşehir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mkoa wa Kırşehir, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.