Kilifi: Mji nchini Kenya

Kilifi ni mji kwenye pwani ya Kenya uliopo kati ya Mombasa na Malindi.

Iko kando ya kihori cha Kilifi ("Kilifi Creek") kinachoishia katika Bahari Hindi.

Kilifi: Mji nchini Kenya
Kilifi, Kenya


Kilifi
Kilifi is located in Kenya
Kilifi
Kilifi

Mahali pa mji wa Kilifi katika Kenya

Majiranukta: 3°38′0″S 39°51′0″E / 3.63333°S 39.85000°E / -3.63333; 39.85000
Nchi Kenya
Kaunti Kilifi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 122,899
Kilifi: Mji nchini Kenya
Madau kwenye kihori cha Kilifi Creek

Mji ni makao makuu ya Kaunti ya Kilifi.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 Kilifi ilikuwa na wakazi 122,899 .

Kilifi imekuwa kitovu kimojawapo cha utalii nchini Kenya hasa kutokana na fuko zake za kupendeza na Bofa Beach ni marufuku hasa. Mdomo mpana wa kihori unapendwa na wenye jahazi za burudani kuna jahazi nyingi zinazolala hapa.

Maghofu ya kihistoria ya Mnarani yako kando la mji wa Kilifi. Mabaki yanayoonekana ni misikiti mbili pamoja na makaburi yaliyokuwa sehemu ya mji wa Waswahili uliokuwa kituo cha biashara. Msikiti mkubwa ulianzishwa mnamo mwaka 1425; mji uliangamizwa wakati wa mashambulio ya Waoromo katika karne ya 17.

Tazama pia

Tanbihi

Tags:

Bahari HindiKenyaMalindiMjiMombasaPwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

VivumishiManchester CityKimara (Ubungo)MzeituniKitenzi kikuu kisaidiziNduniMbooLahajaOrodha ya majimbo ya MarekaniSomo la UchumiJumuiya ya MadolaVita Kuu ya Pili ya DuniaMitume wa YesuMagonjwa ya machoNyaniUvimbe wa sikioSah'lomonKinyongaMkoa wa KilimanjaroMilanoVirusi vya CoronaDar es SalaamMfumo wa upumuajiOrodha ya Maspika wa Bunge la Tanzania25 ApriliDivaiMapenziSiafuSikukuu za KenyaTanzaniaAfrika ya MasharikiJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaNgiriUbaleheUongoziUkabailaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Daudi (Biblia)Saida KaroliDhamiraKilimanjaro (volkeno)Wilaya ya NyamaganaKiboko (mnyama)MoyoMaudhuiDawatiOrodha ya Marais wa UgandaMajiLionel MessiUbadilishaji msimboMkopo (fedha)Mwanzo (Biblia)Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaYouTubeMohammed Gulam DewjiJokate MwegeloJulius NyerereBurundiWilaya ya UbungoJoyce Lazaro NdalichakoMkoa wa TaboraHali ya hewaNyotaKutoka (Biblia)PumuAina za manenoShengMtakatifu MarkoMoscowMajina ya Yesu katika Agano JipyaMpira wa miguuWilaya ya TemekeMpira wa mkono🡆 More