Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Taya, kasia au vihea (Ourebia ourebi) ni swala wadogo wenye miguu myembamba na shingo ndefu ambao wanatokea savana za Afrika kusini kwa Sahara. Taya wazima... |
Nyati-maji (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Nyati-maji ni mnyama mkubwa anayejulikana sana, aliye wa spishi Bubalus bubalis katika nusufamilia Bovinae. Spishi hii ina nususpishi tano ndani yake:... |
Ng'ombe (Kusanyiko Mbegu za mnyama) ng'ombe wa Uhindi ambazo ni nususpishi za B. primigenius (B. p. taurus na B. p. indicus mtawalia, ingawa mara nyingi nususpishi hizo zinaainishwa kama spishi... |
televisheni ya National Geographic Channel, Dk. Brady Barr alipima mkandamizo wa taya za kiboko mara aumapo na ya kiboko jike na kupata kg 826. Barr alijaribu... |
Simba (elekezo toka kwa Mnyama simba) (kundinyota) Simba (jina la kisayansi: Panthera leo; kwa Kiingereza lion) ni mnyama mkubwa mla nyama (carnivore) wa familia ya Paka katika ngeli ya mamalia... |
anafanana na lama mdogo, lakini ameainishwa katika jenasi tofauti. Kuna nususpishi mbili za alpaka; alpaka suri na alpaka huacaya. Kwa kawaida, alpaka mzima... |
Pongo (Kusanyiko Mbegu za mnyama) nususpishi 40 zilitofautishwa, lakini utafiti wa ADN wa sampuli nyingi umeonyesha kwamba kuna vikundi 19. Vikundi hivyo viliungana katika nususpishi mbili... |
magharibi na visiwa vya Korsika na Sardinia. Zamani alifikiriwa kuwa nususpishi ya kulungu mwekundu wa Ulaya (Cervus elaphus barbarus), lakini wanyama... |
Kongoni (Kusanyiko Mbegu za mnyama) familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi A. buselaphus cokii lakini siku hizi nususpishi zote huitwa kongoni. Wanatokea savana za Afrika... |
Nyumbu (Kusanyiko Mbegu za mnyama) asili jina hili lilitumika kwa nususpishi C. taurinus mearnsi na C. t. albojubatus, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote za Connochaetes huitwa nyumbu... |
Choroa (Kusanyiko Mbegu za mnyama) katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi O. beisa callotis, nususpishi O. b. beisa ilikuwa ikiitwa bara bara. Siku hizi spishi... |
Nyamera (jenasi) (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi D. korrigum topi, lakini siku hizi spishi na nususpishi zote huitwa nyamera mara nyingi. Majina mengine... |
Chui (fungu Nususpishi) chui bado anaweza kuwinda mnyama mkubwa kwasababu ya fuvu lake kubwa lenye taya zenye nguvu. Ukilinganisha na paka mwili wake ni mrefu zaidi na miguu yake... |
Ndovu (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Wanafanana lakini hawazaliani. Ndovu-misitu alitazamwa muda mrefu kama nususpishi ya Ndovu wa Afrika lakini wataalamu wamethibitisha ni spishi tofauti.... |
Mbuzi-kaya (elekezo toka kwa Mbuzi mnyama) Mbuzi-kaya ni mnyama katika ngeli ya mamalia ambaye huzaa na kunyonyesha mwenye miguu minne na mwenye tabia zinazofanana na ng'ombe. Kwa ukubwa, mbuzi... |
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Kulungu pembe-nne ni mnyama mdogo wa spishi Tetracerus quadricornis katika familia Bovidae, anayefanana na kulungu... |
Nguruwe-kaya (Kusanyiko Mbegu za mnyama) Nguruwe-kaya ni kundi la wanyama wanaofugwa kote duniani. Kibiolojia ni nususpishi ya Sus scrofa. Jumla ya nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili... |
nyati-maji (Bubalus bubalis) aliye mnyama wa kufugwa. Akiwa na uzito zaidi ya tani moja, nyati-maji wa mwitu ni mnyama mkubwa mwenye nguvu sana aliye na... |
Nyati wa Afrika (fungu Nususpishi) Nyati au mbogo (jina la kisayansi: Syncerus caffer) ni mnyama wa Afrika. Hana uhusiano wa karibu na nyati-maji wa Asia aliye mkubwa zaidi kidogo, lakini... |
Ngole (Kusanyiko Mbegu za mnyama) kahawia. Kuna namna nyeusi pia. Chonge ni majozi matatu ya meno nyuma katika taya la juu, chini ya macho. Ngole ni hatari kabisa baina ya nyoka wa Colubridae... |