Mbuzi-kaya ni mnyama katika ngeli ya mamalia ambaye huzaa na kunyonyesha mwenye miguu minne na mwenye tabia zinazofanana na ng'ombe.
Mbuzi-kaya | ||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mbuzi na mwanawe | ||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya theluthi moja ya ng'ombe aliyekomaa.
Mbuzi-kaya, kama alivyo n'gombe, ni mnyama anayefugika. Hufugwa kwa ajili ya nyama, maziwa na ngozi yake. Kwani nyama na maziwa ni chakula, na ngozi kufanywa viatu, mishipi na mikoba pia.
Mbuzi-kaya hula majani, hucheua na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa ilhali kikizunguka kati ya vyumba mbalimbali vya tumbo na mdomo wake kabla ya kukimeza kabisa, kama vile afanyavyo ng'ombe.
Mara nyingi mbuzi-kaya hubeba mimba na kuzaa mapacha kadhaa.
Mbuzi ni kati ya wanyama wa kwanza waliofugwa na binadamu. Kuna spishi za kufugwa na spishi za porini.
Kuna faida nyingi za mbuzi aina hizo ni:
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbuzi-kaya kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wiki: WikiProject Mammals/Article templates/doc.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mbuzi-kaya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.