Moto

Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya

Kuna ukurasa unaoitwa "Moto" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Moto
    Moto ni hali ya kuungua haraka kwa gimba na kutoa joto pamoja na nuru. Kisayansi ni mmenyuko wa kikemia kati ya oksijeni ya hewani na kampaundi za kaboni...
  • Thumbnail for Kizima moto
    Kizima moto ni chombo kinachotoa kiowevu, gesi au dawa la unga vinavyozuia mwako na kuzima moto. Giligili ndani yake huntunzwa kwa shindikizo inatoka kwa...
  • Thumbnail for Silaha za moto
    Silaha za moto (kwa Kiing. firearm) ni vifaa vinavyorusha risasi dhidi ya shabaha kupitia kasiba (mtutu) yake kwa nguvu ya gesi inayopanuka kutokana na...
  • wake. Katika hali nyingi za kuzima moto, kiasi kikubwa cha maji hubakia baada ya moto kuzimwa. Maji haya ya kuzimia moto yana vifaa vilivyopo kwenye jengo...
  • Thumbnail for Moto wa Pasaka
    Moto wa Pasaka au Moto mpya unawashwa hasa wakati wa kesha la Pasaka ukimaanisha mwanzo mpya wa uhai uliosababishwa na ufufuko wa Yesu. Katika moto huo...
  • Thumbnail for Kiti moto
    Kiti moto ni aina ya chakula maarufu nchini Tanzania kinapoitwa pia "mdudu" au "mbuzi katoliki". Sehemu kuu ya chakula hiki ni nyama ya nguruwe. Inaaminika...
  • Damu moto ni damu ya baadhi ya viumbe hai, hususan mamalia na ndege. Jina linatokana na sifa ya damu hiyo kubaki na kiwango fulani cha joto hata katika...
  • Maji Moto ni kijiji cha Kenya katika kaunti ya Narok. Orodha ya miji ya Kenya https://www.knbs.or.ke/?wpdmpro=2019-kenya-population-and-housing-census...
  • Mto Maji-Moto unapatikana katika kaunti ya Kwale, kusini mashariki mwa Kenya (kwenye bahari ya Hindi). Mito ya Kenya Orodha ya mito ya kaunti ya Kwale...
  • Jeraha la moto ni aina ya jeraha kwa nyama au ngozi linalosababishwa na moto, stima, kemikali, msuguano, au mnururisho. Majeraha yanayoathiri juu ya ngozi...
  • Thumbnail for Nchi ya Moto
    Nchi ya Moto (ndiyo tafsiri ya jina Tierra del Fuego) ambayo ni funguvisiwa kwenye kusini kabisa ya Amerika Kusini. Imetengwa na bara kwa Mlangobahari...
  • karibu na moto, hivyo hali hii huonesha kwamba moto huweza kusababisha joto na joto huweza kusababisha moto. Lakini moto si joto, wala joto si moto. Joto...
  • Milima ya Maji Moto iko katika Mkoa wa Mara nchini Tanzania. Kilele kina urefu wa mita 1,257 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima ya Tanzania Orodha...
  • Thumbnail for Jehanum
    Jehanum (elekezo toka kwa Moto wa milele)
    "bonde la mwana wa Hinnom"; kwa Kigiriki: γέεννα) linalomaanisha adhabu ya moto wa milele ambayo kadiri ya Biblia na Kurani itawapata watu waovu huko ahera...
  • Thumbnail for Volkeno
    Kati ya miungu ya Kiroma alihusika na moto, radi na uhunzi; kwa hiyo aliheshimiwa hasa na wote waliotumia moto kwa kuyeyusha metali kama chuma au shaba...
  • Mambo Moto tv ni stesheni ya lugha ya Kiswahili iliyoundwa mwaka wa 2021 Nchini Tanzania. Inaonyesha vipindi kwa lugha ya Kiswahili. Inapatikana chaneli...
  • Mifano Ya moto yanaunguza Wa Mbeya ni mweupe Vya China ni imara sana Cha kukalia kimevunjika La saba wamehitimu Tokeo la matumizi ya juu Y a moto yanaunguza...
  • Thumbnail for Uvukizaji
    vikifikia kiwango maalumu cha kuchemka. Kama molekuli katika kiowevu zinapashwa moto mwendo wake unaongezeka. Zinagonganagongana na kuachana mbali zaidi hadi...
  • Thumbnail for Makaa
    kawaida inapatikana kwa kupashia moto kuni na kuzia hewa isiingie. Ilikuwa chanzo cha nishati ya kupikia na kupashia moto katika nchi nyingi za dunia kabla...
  • Thumbnail for Moshi (wingu)
    moshi [[Picha: Moshi kwa lugha ya kawaida ni wingu linalotokea pale ambako moto inawaka. Ni mchanganyiko wa vipande vidogo vya mata mango, matone ya kiowevu...
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WamanyemaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)TabianchiMadawa ya kulevyaMwanzoKarne ya 20PamboMfumo wa JuaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMtandao wa kijamiiWimboTaifa StarsBaraMichael JacksonOrodha ya milima mirefu dunianiOrodha ya Marais wa TanzaniaMwislamuLionel MessiUKUTAMagharibiShomari KapombeDaniel Arap MoiUislamu kwa nchiMalawiKabilaAdhuhuriNg'ombeThomas UlimwenguWanyamboInshaKalamuRwandaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUpendoKoalaThabitiNamibiaKupatwa kwa JuaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaAzimio la ArushaOrodha ya vitabu vya BibliaMsumbijiBenderaUsafiriJipuAsiaTanganyikaKamala HarrisJumuiya ya Afrika MasharikiBogaHarakati za haki za wanyamaSerikaliTashihisiAurora, ColoradoAzimio la kaziMkoa wa DodomaKenyaSintaksiDaftariAmri KumiUshairiUhifadhi wa fasihi simuliziShahawaUturukiEdward SokoineOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaHistoria ya KiswahiliKusiniStadi za lughaLahaja za KiswahiliSalaHaki za watotoMabantuTendo la ndoaSayari ya TisaVitenzi🡆 More