Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Wasukuma" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania: linakadiriwa kufikia watu milioni 10, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla. Jina... |
Makumbusho ya Wasukuma ni makumbusho ya kijamii yanayopatikana Bujora, kijiji cha mkoa wa Mwanza nchini Tanzania. Makumbusho hayo yalianzishwa rasmi mwaka... |
Bujora (Kusanyiko Wasukuma) kabila la Wasukuma. Makumbusho ya Wasukuma yalianzishwa rasmi mwaka 1968 kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma Msingi... |
Msongamano wa watu ulikuwa 63 kwa kilometa mraba. Kabila kubwa ni lile la Wasukuma. Mkoa huo mpya una wilaya 6 zifuatazo: Bariadi Mjini, Bariadi, Busega,... |
yake lina wilaya za Nyamagana na Ilemela. Makabila makubwa ya Mwanza ndio Wasukuma na Wazinza upande wa bara, halafu Wakerewe na Wakara visiwani. Wakati wa... |
Geita Mjini Mbogwe na Nyang'hwale. Makabila makubwa katika mkoa huu ni Wasukuma, Wasumbwa, Walongo na Wazinza. Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka... |
kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,221 waishio humo. Wakazi walio wengi ni Wasukuma. Asilimia kubwa wanajihusisha na kilimo cha mpunga pamoja na mahindi. https://www... |
kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,645 waishio humo. Kabila kubwa ni la Wasukuma. https://www.nbs.go.tz, uk 219 Sensa ya 2012, Simiyu Region - Itilima District... |
kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji ambao ni Wakara, Wakerewe, Wajita na Wasukuma ambao wanazidi wenyeji kwa idadi. https://www.nbs.go.tz, uk 184 Sensa ya... |
mingi iliyopita na kuunda jamii ya Walongo ambao kwa sasa wamechanganyikana sana na Wasukuma kutokana na uhamiaji wa Wasukuma wengi katika mji wa Geita.... |
Idadi ya wakazi wake ilikadiriwa kuwa 13,175 mwaka 2016; walio wengi ni Wasukuma. https://www.nbs.go.tz, uk 182 Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo... |
wakazi walihesabiwa 419,213 . Itilima ni wilaya iliyojaa karibia 99% wakiwa Wasukuma waitwao Wanyantuzu, kilimo chao kikuu hasa ni mahindi, pamba, n.k. Katika... |
jamii mbili ambazo ni asilimia kubwa ya watu wanaoishi humo: Wanyamwezi na Wasukuma. Mazao ya biashara yanayolimwa katika eneo hili ni pamba na tumbaku, huku... |
uenyeji Bwanga ni Waha wenye asili ya Kihutu yaani Waha wa Kibondo na Wasukuma ambao miongoni mwao baadhi wana asili ya Kinyarwanda. https://www.nbs.go... |
wakazi wapatao 18,893 waishio humo. Wakazi wake wengi ni Wanyamwezi na Wasukuma lakini pia kuna Wanyiramba na Waha kiasi. Shughuli kubwa za wakazi ni kilimo... |
Sukuma inaweza kumaanisha Wasukuma, kabila kubwa zaidi nchini Tanzania Kisukuma, lugha yao Sukuma (Magu), kata katika Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza, Tanzania... |
wapatao 24,461 waishio humo. Kwa asilimia kubwa hukaliwa na kabila la Wasukuma. Katika kata ya Kasamwa kuna shughuli mbalimbali za kiuchumi zikifanyika... |
Isolo (Kusanyiko Wasukuma) Isumbi) ni mchezo wa kiutamaduni wa mancala unaochezwa na watu wa kabila la Wasukuma kaskazini mwa Tanzania. Sheria ya mchezo zipo za aina tatu, sambamba kwa... |
kusini kama Wamakonde, Wayao, Wangindo, Wamakua, Wahehe, Wamwera, Wangoni, lakini pia Wasukuma wa Tanzania kaskazini magharibi. Tanzania. ethnologue.com... |
wapatao 7,140 waishio humo. Kata hiyo ina mchanganyiko wa makabila ya Wasukuma na Wanyamwezi. Kuna shule ya sekondari moja, ambayo ni Usunga secondary... |