Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Mongolia (kwa Kimongolia: Монгол Улс, mongol uls) ni nchi ya bara la Asia. Imepakana na nchi za Urusi na Uchina. Ni nchi kubwa ya 19 duniani lakini kuna... |
Jiografia ni somo la Dunia na vipengele vyake, wakazi wake, na maajabu yake. Neno la Kiswahili jiografia linafuata matamshi ya Kiingereza ya neno la Kigiriki... |
ni orodha ya mikoa ya Mongolia. Монгол улсын засаг захиргааны хуваарь [Administrative divisions of Mongolia], map, 2006 Mongolia Landuse Annual Report... |
Mongolia ya Kichina huitwa pia "Mongolia ya Ndani" ni eneo la kujitawala ndani ya Jamhuri ya Watu wa China iliyokuwa eneo la makabila ya Wamongolia ingawa... |
Nyanda za Juu za Mongolia ni sehemu za Nyanda za Juu za Asia ya Kati zinazoenea katika Mongolia na kaskazini mwa China kwa takriban kilomita za mraba 3... |
Ulaanbaatar (Kusanyiko Miji ya Mongolia) - "mshujaa mwekundu") ni mji mkuu wa Mongolia mwenye wakazi 844,818. Sehemu ya wakazi hufuata mapokeo ya Mongolia wakiishi mjini miezi ya baridi tu lakini... |
Tuul (mto) (Kusanyiko Mito ya Mongolia) Tuul (kwa Kimongolia: Туул гол) ni mto muhimu wa Mongolia. Mto una urefu wa km 704 na beseni la km² 49,840. Chanzo chake ni ambapo matawimto ya Namiya... |
Amur (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Asia) kikubwa cha Sakhalin. Matawimto Argun na Shilka yanaanza katika Mongolia yenyewe na Mongolia ya Kichina. Pamoja na mwendo wa Argun urefu wa mto wote ni takriban... |
Asia ya Kati (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Asia) wa Kisovyeti. UNESCO imeongeza pamoja na nchi tano hizo nchi zifuatazo: Mongolia Shinjang (China ya magharibi, pamoja na Tibet) Uajemi ya kaskazini-mashariki... |
Asia ya Mashariki (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Asia) na Macau) Jamhuri ya China (Taiwan) Korea Kaskazini Korea Kusini Japani Mongolia Kiutamaduni nchi hizi zote zimeathiriwa na China jinsi inavyonekana katika... |
Baghdad (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Asia) wakati wa ukhalifa wa Abbasiyya. Mwaka 1258 mji uliharibiwa na jeshi la Mongolia. Baadaye ilikuwa makao makuu ya utawala wa Mesopotamia katika Dola la Uturuki... |
Milima ya Sayan (Kusanyiko Milima ya Mongolia) hasa kwenye Jamhuri ya Tuva, na kaskazini mwa Mongolia . Hapo zamani milima ilikuwa mpaka kati ya Mongolia na Urusi. Vilele vya Milima ya Sayan na maziwa... |
Mto Uilgan (Kusanyiko Mito ya Mongolia) Mto Uilgan ni mto uliopo Mongolia. Mto huu huanzia katika makutano ya mito midogomidogo karibu na mpaka wa Urusi na huingia ndani ya Mto Üür kidogo kutoka... |
60°N 100°E / 60°N 100°E / 60; 100 Jiografia ya Urusi inaeleza tabia za nchi ya Urusi inayotanda juu ya maeneo mapana ya Eurasia ya kaskazini na ambayo... |
Tuva (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Urusi) ya kusini, kwenye kitovu cha kijiografia cha Asia. Imepakana na nchi ya Mongolia upande wa kusini na maeneo yafuatayo ya Shirikisho la Urusi: Jamhuri ya... |
Jangwa la Gobi (Kusanyiko Jiografia ya Mongolia) kwa kilomita mraba 1,295,000. Linaenea kaskazini mwa China na kusini mwa Mongolia, kusini kwa milima ya Altai. Sababu yake ni kwamba nyanda za juu za Tibet... |
Uchina Bara (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya China) ya Uchina Bara, Hong Kong, Macau, Taiwan, Kinmen, Matsu, Pescadores, na Mongolia ilikuwa sehemu ya Dola la Kichina. Taiwan, Hong Kong, na Macau yalitolewa... |
Urusi (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya Urusi) Lithuania, Poland, Belarus, Ukraine, Georgia, Azerbaijan, Kazakhstan, China, Mongolia na Korea ya Kaskazini. Iko karibu vilevile na maeneo ya Marekani (jimbo... |
Milima ya Altai (Kusanyiko Milima ya Mongolia) Mashariki. Milima mirefu zadi hufikia kimo cha mita 4,500. Urusi, China, Mongolia, na Kazakhstan zinakutana katika milima hii, ambayo ni chanzo cha mito... |
Jamhuri ya Watu wa China (Kusanyiko Mbegu za jiografia ya China) Nepal, Pakistan, Afghanistan, Tajikistan, Kyrgyzstan, Kazakhstan, Urusi, Mongolia, Korea ya Kaskazini. Kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Kusini ya China... |