Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Safu ya milima ni msururu wa milima iliyokaribiana. Milima hiyo hutenganishwa na nyanda za juu au mabonde. Mifano ya safu za milima ni kama vile, Safu... |
Kwa maana mengine ya neno hili tazama hapa Milima ya Ural (Kirusi: Ура́льские го́ры - uralskiye gory) ni safu ya milima nchini Urusi na Kazakhstan inayoelekea... |
Andes (elekezo toka kwa Milima ya Andes) Andes ni safu ya milima kunjamano na safu ndefu kabisa ya milima duniani. Inaendana na urefu wote wa Amerika Kusini upande wa magharibi wa bara hili,... |
Antilebanon) ni safu ya milima katika Lebanoni, Syria na Israel inayoelekea sambamba na milima ya Lebanoni yenyewe upande wa mashariki. Kati ya safu hizo mbili... |
tofauti ya jina hili tazama Atlas (maana) Milima ya Atlas (kwa Kiberber: Idurar n Watlas; kwa Kiarabu: جبال الأطلس, jibaal al-atlas) ni safu ya milima kunjamano... |
Ziwa Malawi. Milima yake ya kaskazini inaitwa pia Milima ya Poroto na ile karibu na ziwa inaitwa pia Milima ya Ukinga. Ni safu ya milima inayoelekea kusini... |
Milima ya kuvukia Antaktiki (kwa Kiingereza: Transantarctic Mountains) ni safu ya milima katika bara la Antaktiki. Inagawa bara hilo kuwa sehemu mbili... |
Milima ya Poroto (Uporoto) iko kusini magharibi mwa Tanzania, kaskazini mwa Milima ya Kipengere. Ni safu ya milima inayoelekea kusini mashariki kutoka... |
Milima Tordrillo ni safu ya milima ya Alaska (Marekani). Urefu wake katika mlima Torbert unafikia hadi mita 3,479 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima... |
ya uso wa ardhi kuinuliwa juu. Tokeo lake ni safu ya milima au pia mfululizo wa masafu yaliyo sambamba. Milima kunjamano ni umbo la kawaida kati ya milima... |
Ahaggar (elekezo toka kwa Milima ya Ahaggar) Hoggar) ni safu ya milima ya Aljeria (Afrika). Urefu wake unafikia hadi mita 2,908 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima Orodha ya milima ya Afrika... |
Milima ya Altai ni safu ya milima katika Asia ya Kati na ya Mashariki. Milima mirefu zadi hufikia kimo cha mita 4,500. Urusi, China, Mongolia, na Kazakhstan... |
Milima ya Kunlun (kwa Kichina: Kunlun Shan) ni safu ya milima nchini China yenye kimo cha mita 3,000 hadi 7,000. Mlima mrefu zaidi ni Liushin Shan inayofikia... |
Auasberge (elekezo toka kwa Milima ya Auas) Milima Auas (kwa Kijerumani Auasberge) ni safu ya milima katika nchi ya Namibia (Afrika). Urefu wake unafikia hadi mita 2,484 juu ya usawa wa bahari. Orodha... |
Alpi (elekezo toka kwa Milima ya Alpi) Kislovenia: Alpe) ni safu ya milima kunjamano katika Ulaya inayotenganisha Ulaya ya Kati na Ulaya ya Kusini, hususan rasi ya Italia. Asili ya jina "Alpi" ni... |
Milima Adirondack ni safu ya milima ya New York (Marekani). Urefu wake katika mlima Marcy unafikia hadi mita 1,629 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima... |
Milima ya Cascades ni safu ya milima ya Kanada na Marekani. Urefu wake katika mlima Rainier unafikia hadi mita 4,392 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya... |
Milima ya Mbeya ni safu ya milima iliyopo katika kusini mwa Tanzania katika Mkoa wa Mbeya. Mlima wa Mbeya ni mwimuko wa juu na kilele chake kipo mita... |
Himalaya (elekezo toka kwa Milima ya Himalaya) Himalaya ni safu ya milima kunjamano katika Asia, upande wa kaskazini wa Uhindi. Ng'ambo ya pili ni nyanda za juu za Tibet (Uchina). Himalaya ina milima mikubwa... |
Milima Golis ni safu ya milima ya Somalia (Pembe ya Afrika). Urefu wake unafikia hadi mita 1,371 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima Orodha ya milima... |