Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Sanaa (kutoka neno la Kiarabu) ni ufundi anaoutumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake. Vilevile sanaa ni uzuri unaojiibua... |
Marekani. Sanaa Lathan at the Internet Movie Database Sanaa Lathan Archived 3 Desemba 2008 at the Wayback Machine. katika AskMen.com Sanaa Lathan interview... |
Sanaa za mapigano (kwa Kiingereza martial arts, art of fighting) ni jina la jumla kwa namna za kupigana zinazofuata mitindo na kanuni fulani. Sanaa za... |
Yesu katika sanaa mbalimbali ameshika nafasi kubwa katika uchoraji, uchongaji, muziki n.k. vya milenia mbili tangu azaliwe. Picha za Yesu Kristo zilitokeza... |
Sanaa ya Kikristo ni sanaa iliyokusudiwa kutokeza imani ya Ukristo katika uzuri wake. Mara nyingi hiyo inafanyika kuhusiana na ibada na majengo yanayotumika... |
ya Sanaa ni duka maalumu kwa ajili ya wasanii wa Tanzania kuonyesha na kuuza kazi zao za sanaa walizobuni wao wenyewe. Mwanzilishi wa Nyumba ya Sanaa ni... |
Utamaduni wa Kiafrika (fungu Sanaa na Afrika) upishi wa vyakula vya Afrika Mashariki - mchele uliopikwa kwa viungo katika mtindo fulani, matumizi ya karafuu, mdalasini na viungo vingine vingi, na... |
Stabat Mater katika sanaa ni aina ya michoro na sanamu za Yesu Msulubiwa ambamo mama yake huonyeshwa amesimama imara chini yake kadiri ya Injili ya Yohane... |
Kupalizwa Maria katika sanaa ni aina ya michoro na sanamu za Bikira Maria inayokusudiwa kuonyesha fumbo linaloadhimishwa na Kanisa Katoliki katika sherehe... |
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ni Shirika Maalum lenye mwingiliano wa kiutendaji kati ya serikali na wadau wa sanaa ambalo liliundwa makhususi kwa lengo... |
Freeman na kutolewa kwa Derby na Michael Thomas Bass. Mkusanyiko ya vitu vya Sanaa zinazopatikana hapo ni pamoja na nyumba nzima iliyo na picha zilizochorwa... |
Fasihi (Kusanyiko Sanaa) utanzu wa sanaa. Kuna aina tatu za sanaa: sanaa za ghibu, sanaa za maonyesho na sanaa za vitendo. Kazi ya fasihi ni kujaribu kusawiri vipengele vya maisha... |
Picha (Kusanyiko Sanaa) kuzipiga ili kutunza kumbukumbu zao. Upigaji picha umekuwa aina mojawapo ya sanaa. Kwa kawaida watu hupigwa picha wakati wa harusi, ubatizo, mazishi, mahafali... |
Vienna (fungu Sanaa na Utamaduni) Bundesmuseen 'Albertina' ', historia ya sanaa na majumba ya makumbusho ya asili, majumba ya makumbusho ya sanaa iliyotumiwa na ya kisasa, "Belvedere",... |
Bikira Maria katika sanaa anajitokeza sana (hasa katika uchoraji na uchongaji) tangu zamani sana (karne ya 2 na ya 3) kulingana na maendeleo ya heshima... |
Chuo Kikuu cha Nairobi (Kusanyiko Vyuo vikuu vya Kenya) Kitivo cha Kilimo Kitivo cha Sanaa Kitivo cha Biashara (Faculty of Commerce) Kitivo cha Elimu Kitivo cha Masomo ya Nje Kitivo cha Sheria Kitivo cha Sayansi... |
Uchoraji (Kusanyiko Sanaa) angalia hapa Mchoraji (kundinyota) Uchoraji ni sanaa ya kuweka alama au picha kwa kutumia vifaa mbalimbali vya kuchorea, kama vile kalamu ya wino au ya risasi... |
Babylonokia (pia inajulikana kama Babylon-Nokia, Simu ya Nje, na Simu ya Cuneiform) ni kazi ya sanaa ya mwaka 2012 na Karl Weingärtner katika umbo la kompyuta... |
Renaissance (elekezo toka kwa Mwamko-sanaa) Renaissance (pia: zama za mwamko, mwamko-sanaa, renesansi) ni kipindi cha historia ya Ulaya kilichoanza kunako miaka ya 1400, mwishoni mwa kipindi cha... |
Fasihi simulizi (elekezo toka kwa VIPENGELE VYA FASIHI SIMULIZI) Fasihi simulizi ni kazi ya sanaa inayotumia mdomo (tofauti na maandishi kama kwenye fasihi andishi) kama njia kuu ya kufikisha ujumbe. Ni sehemu ya msingi... |