Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Mjukuu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Mjukuu ni mtoto wa mwanao, bila kujali jinsia yako wala yake. Yeye anakuita babu au bibi. Mtoto wake tena anaitwa kitukuu, mtukuu au kusukuu. Katika Kiswahili... |
Bibi kwa mjukuu wake ni hasa mama wa mzazi wake mmojawapo. Katika DNA anachangia 25%. Inakadiriwa kwamba miaka 30,000 iliyopita idadi ya watu waliofikia... |
Kitukuu (pia: mtukuu au kusukuu) ni mtoto wa mjukuu, bila kujali jinsia. Mtoto wake tena anaitwa kilembwe, na mjukuu wake kilembekweza, kilembwekeze au kining'ina... |
Babu kwa mjukuu wake ni hasa baba wa mzazi wake mmojawapo. Katika DNA anachangia 25%. Inakadiriwa kwamba miaka 30,000 iliyopita idadi ya watu waliofikia... |
kufariki madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa John Tyler aliyemfuata kama Rais. Mjukuu wake aliyeitwa Benjamin Harrison alikuwa Rais wa 23. Orodha ya Marais wa... |
Januari 1519) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1493 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake Federiki III, na kufuatiwa na mjukuu wake Karoli V.... |
Kilembwe ni mtoto wa kitukuu, hivyo ni mmoja wa familia katika ukoo. Mtoto wake huitwa kilembwekeza au kining'ina, na mjukuu wake huitwa kitukutuku.... |
Makala hii inahusu mwaka 788 BK (Baada ya Kristo). Idris ibn Abdullah (mjukuu wa kizazi cha tatu wa Ali ibn Abi Talib (علي بن أﺑﻲ طالب) anaanzisha utawala... |
alimfuata baba yake, Go-Nara, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 17 Desemba 1586. Aliyemfuata ni mjukuu wake, Go-Yozei. Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani... |
(Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yutahito, na alikuwa mjukuu wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1221 alimfuata binamu yake Chukyo, na kuwa mfalme... |
Kiebrania mnamo miaka 196 KK - 175 KK huko Aleksandria (Misri). Halafu mjukuu wake alikitafsiri kwa Kigiriki akitanguliza dibaji. Wakatoliki na Waorthodoksi... |
kiislamu inayosheherekewa na Washia hasa wakiadhimisha kifo cha Hussein mjukuu wa Mtume Muhammad kwenye siku ya kumi ya mwezi wa Muharram katika kalenda... |
katika ndoa yake kabla hajachaguliwa, walipatikana baadaye Papa Agapeto I (mjukuu) na Papa Gregori I (kitukuu). Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu... |
kama kipa. Yeye ni mtoto wa kipa wa zamani wa AC Milan Fabio Cudicini na mjukuu wa mlinzi wa Ponziana Guglielmo Cudicini. Cudicini sasa ni balozi wa klabu... |
Kiarabu Yaʿqūb) katika Biblia ni mwana mdogo wa Isaka na Rebeka, hivyo ni mjukuu wa Abrahamu na Sara. Ndiye aliyezaa watoto wa kiume 12 ambao ndio mababu... |
Atoroba Peni Rikito, mjukuu wa mfalme Gbudwe, ni Mfalme wa Azende ambaye alipata taji tarehe 9 Februari 2022. Atoroba Peni Rikito alitawazwa kama Mfalme... |
kifo cha mwanae, akampa mjukuu wake, Malkia Halima, nafasi muhimu. Mwaka wa 1788, Abdallah I alijiuzulu kwa ajili ya mjukuu wake, ambaye akawa anajulikana... |
dola kubwa na muhimu katika Mashariki ya Kati kuanzia karne ya 18 KK hadi mwaka 609 KK Ashuru mwana wa Shemu na mjukuu wa Nuhu katika historia ya Biblia... |
as-Senussi (kwa Kiarabu: محمد إدريس بن السيد المهدي ابن محمد السنوسي ). Alikuwa mjukuu wa Muhamad ibn Ali as-Senussi aliyeanzisha jumuiya ya Wasufi wa Senussi... |
zinabaki siku 82. 680 - Mapigano ya Karbala (Aashurah): Husein bin Ali, mjukuu wa Muhamad, anakatwa kichwa na Waislamu wenzake 732 - Mapigano ya Tours... |