Hekalu La Yerusalemu

Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya

Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)
  • Thumbnail for Hekalu la Yerusalemu
    Hekalu la Yerusalemu lilikuwa kitovu cha ibada za dini ya Uyahudi wakati wa Israeli ya Kale. Kwa jumla kulikuwa na majengo mawili yaliyofuatana kwenye...
  • Thumbnail for Hekalu
    Kwa mfano katika Uislamu jengo la ibada linaitwa msikiti. Katika Biblia lina umuhimu wa pekee hekalu la Yerusalemu, lililojengwa kwanza na mfalme Sulemani...
  • Thumbnail for Ukuta wa Maombolezo
    Ukuta wa Maombolezo (Kusanyiko Yerusalemu)
    katika mji wa kale wa Yerusalemu ni patakatifu pa dini ya Uyahudi. Ukuta huo ni mabaki pekee yanayoonekana ya hekalu la Yerusalemu la pili jinsi lilivyopanuliwa...
  • Thumbnail for Shilo
    hekalu lilipotunzwa sanduku la agano kabla ya hilo kutekwa na Wafilisti wakati wa kuhani Eli na hatimaye kuhamishiwa na mfalme Daudi mjini Yerusalemu...
  • Thumbnail for Yerusalemu
    Hekalu la Yerusalemu: ni ukuta uliojengwa na Mfalme Solomoni ili kuzuia vifusi vilivyojaza bonde la mji wa Mfalme Daudi kadiri ya Biblia. Kanisa la Kaburi...
  • hekalu, altare na sadaka. Hivyo kuanzia mwaka 70 B.K., lilipobomolewa hekalu la Yerusalemu, lililokuwa pekee katika dini ya Uyahudi, makuhani wakakosa kazi...
  • waliohusika na matukio ya hekalu, htifaki, taratibu za dini, na liturujia. Ndiyo maana waliishiwa nguvu hekalu la Yerusalemu lilipoangamizwa na Warumi...
  • Thumbnail for Yosia
    kutekeleza agizo la gombo lililopatikana mwaka 622 KK likidai sadaka zote zitolewe katika hekalu la Yerusalemu tu, kadiri ya msimamo wa Kumbukumbu la Torati: "Mungu...
  • Thumbnail for Hanukkah
    nane inayopendwa katika familia. Ni kumbukumbu ya kuweka wakfu upya hekalu la Yerusalemu kwenye mwaka 165 KK. Inasheherekewa tarehe 25 mwezi wa Kislevu inayotokea...
  • Thumbnail for Nabii Hagai
    Nabii Hagai (Kusanyiko Manabii wa Agano la Kale)
    Zekaria ujenzi mpya wa hekalu la Yerusalemu baada ya Wayahudi kurudi toka uhamisho wa Babeli. Hatimaye kazi hiyo ilikamilika na hekalu likatabarukiwa mwaka...
  • Thumbnail for Nabii Azaria
    Nabii Azaria (Kusanyiko Manabii wa Agano la Kale)
    mfalme huyo alivunja sanamu za miungu na kujenga upya altare ya YHWH katika hekalu la Yerusalemu. Baada ya hapo kulitokea kipindi cha amani kwa miaka 35....
  • ► | ►► Makala hii inahusu mwaka 622 KK (kabla ya Kristo). Katika hekalu la Yerusalemu kinapatikana kitabu cha sheria ya Musa kutoka Israeli kaskazini....
  • | 164 KK | 163 KK | 162 KK | 161 KK | ► | ►► Makala hii inahusu mwaka 164 KK (kabla ya Kristo). 21 Desemba - Yuda Mmakabayo anatakasa hekalu la Yerusalemu...
  • Thumbnail for Mzee Simeoni
    wa Yerusalemu (leo nchini Palestina/Israeli) katika karne ya 1 KK. Ni maarufu hasa kwa kumpakata mtoto Yesu alipoletwa na wazee wake katika hekalu la Yerusalemu...
  • Thumbnail for Nabii Zekaria
    Nabii Zekaria (Kusanyiko Manabii wa Agano la Kale)
    Kristo. Tofauti na Hagai, Zekaria hakuishia upande wa ujenzi mpya wa hekalu la Yerusalemu, bali alisisitiza pia utakaso wa waamini na ibada zao. Tangu kale...
  • Thumbnail for Ezra
    Ezra (Kusanyiko Manabii wa Agano la Kale)
    jimbo la milki ya Uajemi. Koreshi aliwaruhusu Wayahudi waliopenda warudi Yerusalemu na kujenga upya hekalu. Muda mfupi baada ya kufika Yerusalemu, Wayahudi...
  • Thumbnail for Nabii Hulda
    Nabii Hulda (Kusanyiko Manabii wa Agano la Kale)
    kwamba, wakati wa mfalme Yosia, walipokuwa wanarekebisha na kutakasa hekalu la Yerusalemu, waliokota kitabu cha Sheria ya Mungu wakakipeleka kwa mfalme aliyeagiza...
  • Thumbnail for Karne ya 6 KK
    Huko Amerika Kusini, ustaarabu wa Olmec unadumaa. 515 KK: Ujenzi wa Hekalu la Yerusalemu unakamilika: litadumu hadi mwaka 70 BK. 510 KK: Wa mwisho kati ya...
  • Thumbnail for Kitabu cha Ezra
    Kitabu cha Ezra (Kusanyiko Vitabu vya Agano la Kale)
    Waajemi. Mwaka 587 KK mfalme wa Babeli alikuwa amevamia mji wa Yerusalemu, kubomoa hekalu la Sulemani na kumaliza ufalme wa Yuda. Wakazi walipelekwa Mesopotamia...
  • Thumbnail for Yesu kutolewa hekaluni
    aliyemzaa mtoto wa kiume. Siku hiyo aliletwa na Yosefu na Maria katika hekalu la Yerusalemu ili atolewe kwa Mungu, akiwa mtoto wa kiume wa kwanza, akakombolewa...
Tazama (20 zilizotangulia | ) (20 | 50 | 100 | 250 | 500)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuJuxRiwayaMike TysonDhima ya fasihi katika maishaIsimujamiiKumaArusha (mji)Kombe la Mataifa ya AfrikaMkoa wa ArushaOrodha ya Marais wa TanzaniaSomo la UchumiRené DescartesVichekeshoUbuntuBendera ya TanzaniaUtapiamloSeli nyeupe za damuHarmonizeMadhara ya kuvuta sigaraWasafwaAngkor WatMaudhuiMjasiriamaliRihannaPichaWamasoniMsalaba wa YesuUjimaBaruaHifadhi ya SerengetiOrodha ya miji ya MarekaniMuhammadJokate MwegeloWanyama wa nyumbaniVivumishiKitenzi kishirikishiWameru (Tanzania)MawasilianoRayvannyMsengeHaikuWaheheMtaalaMafuta ya wakatekumeniWaanglikanaKhadija KopaWayahudiKorea KusiniUmaskiniKisimaUkristoImaniMitume na Manabii katika UislamuMapafuMishipa ya damuNgeli za nominoKanisa KatolikiAslay Isihaka NassoroMjombaBinamuJacob StephenOrodha ya programu za simu za WikipediaMkutano wa Berlin wa 1885Kimondo cha MboziMzeituniHaki za watotoMbuga za Taifa la TanzaniaMeta PlatformsHistoria ya KiswahiliUkristo barani AfrikaMshororoShomari KapombeSikio🡆 More