Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Mwaka wa Kanisa (pia: mwaka wa liturgia / liturujia) ni mpangilio wa maadhimisho au kalenda inayoratibu majira na sikukuu za Ukristo katika muda wa mwaka... |
historia ya Kanisa wanaume 32 na wanawake 4 tu wamepewa heshima hiyo. Wa kwanza kutangazwa (mwaka 1298) ni mababu wa Kanisa wanne muhimu zaidi upande wa Magharibi:... |
Babu wa Kanisa ni jina la heshima ambalo kuanzia karne IV Kanisa Katoliki limewapatia Wakristo wa kale (hadi mwaka 750 hivi), wenye utakatifu, elimu na... |
Kanisa Katoliki ni jina linalotumika kwa maana mbalimbali, lakini hasa kumaanisha Kanisa la Kikristo linalokubali mamlaka ya kiroho ya Papa wa Roma kama... |
Sifa nne za Kanisa, kadiri ya imani ya madhehebu mengi ya Ukristo, ni zile ambazo zinalitambulisha Kanisa la kweli kati ya makundi mengi ya Ukristo ni... |
Kanisa la Kilatini (wakati mwingine "Kanisa la Kiroma") ni moja ya madhehebu yanayounda Kanisa Katoliki. Ndiyo kubwa kuliko yote (97% za waumini wote)... |
Mkusanyo wa Sheria za Kanisa (la Kilatini) ni kitabu ambamo zimekusanywa kwa mpango sheria kuu za Kanisa Katoliki zinazohusu waamini wake wa mapokeo ya... |
Ualimu wa Kanisa katika imani ya Wakatoliki linamaanisha mamlaka ya Kanisa, kupitia hasa maaskofu wake, katika kufundisha imani na maadili ili kudumisha... |
Kanisa la Magharibi (au Ukristo wa Magharibi) linajumlisha Kanisa la Kiroma-Katoliki pamoja na madhehebu ya Kiprotestanti. Huitwa "la magharibi" kwa sababu... |
aina ya mwaka mwenye kipindi cha siku 260 iliyounganishwa na mwaka wa jua wa siku 365 katika utaratibu wa miaka 52. Kalenda ya mwaka wa Kanisa ni kalenda... |
Kanisa kuu ni jina la heshima la jengo la ibada la madhehebu mbalimbali ya Ukristo ambalo Askofu wa jimbo (dayosisi) fulani analitumia kwa kawaida kutekeleza... |
Kanisa maana yake ya kwanza kabisa ni "mkusanyiko wa waamini" kama ule wa Waisraeli chini ya Musa kwenye mlima Sinai walipopewa Amri za Mungu. Neno hilohilo... |
yya kiraia, kalenda ya Kiislamu, mwaka wa Kanisa. Kalenda inayotumiwa zaidi kimataifa ni Kalenda ya Gregori na hapa mwaka mpya ni 1 Januari. Uajemi, Afghanistan... |
Utetezi wa Kanisa Katoliki ni sehemu ya teolojia ya Ukristo inayolenga kutoa hoja za kutetea imani na maisha ya Kanisa Katoliki dhidi ya zile za watu wa madhehebu... |
Kanisa la Asiria, jina lake rasmi ni Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume la Asiria la Mashariki,(kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܩܕܝܫܬܐ ܘܫܠܝܚܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝ ܕܡܕܢܚܐ ܕܐܬܘܪܝܐ... |
Waanglikana (elekezo toka kwa Kanisa la Anglikana) Waanglikana ni Wakristo wa madhehebu yenye asili ya Uingereza. Katika karne ya 16 mfalme Henry VIII alitenga Kanisa la nchi hiyo na Kanisa Katoliki. Baada ya... |
Kanisa la Moravian (kwa Kiingereza: Moravian Church; pia: Umoja wa Ndugu kutoka jina la kihistoria la Kilatini "Unitas Fratrum", au ndugu wa Herrnhut)... |
Mama wa Kanisa (kwa Kilatini: Mater Ecclesiae) ni jina la heshima ambalo Bikira Maria amepewa rasmi na Papa Paulo VI tarehe 21 Novemba 1964 wakati wa Mtaguso... |
Urika wa maaskofu ni msamiati wa teolojia ambao unatokeza imani ya Kanisa katika umoja wa sakramenti ya daraja takatifu katika ngazi yake ya juu kuhusu... |
Kanisa kuu la Roma ni jengo la ibada lililopo tangu karne ya 4 hadi leo katika mtaa wa Laterani mjini Roma. Ni kwamba, kama majimbo yote ya Kanisa Katoliki... |