Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Wanakadiriwa kuwa 1,000,000 hivi. Lugha yao ni Kipare (au... |
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare, Mkoa wa Kilimanjaro, kaskazini mwa nchi ya Tanzania. Lugha yao ni Kipare (au Chasu). Kabla ya kuingia huko, inasemekana... |
mkoani humo ni Wachagga, Wagweno na Wapare, ambapo pia kuna makabila mengine madogomadogo kama Wamasai na Wakamba. Makao makuu ya mkoa huu ni Moshi. Katika... |
linalopatikana katika kata hii ni Wapare. Yapo makabila mengine kama Wakamba na Wachaga ingawa makabila hayo ni kama yamemezwa na Wapare. Wakazi wengi ni wafuasi... |
linaloongoza kwa idadi ya wakazi wa mji wa Moshi ni Wachagga wakifuatiwa na Wapare na makabila mengine yaliyohamia kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania kama... |
Waasu/Wapare. Wachaga n.k. pindi wakiwa safarini kuja Tanganyika miaka zaidi ya mia nane (800) iliyopita. Haya majina ya Wasambaa, Wachaga, Wapare n.k.... |
makubwa mkoani Tanga ni Wasambaa, Wazigua, Wabondei na Wadigo. Mengine ni Wapare, Wataita, Wambugu, Wasegeju na Wanago. Pia kuna Waarabu wengiwengi wenye... |
Idadi kubwa sana ya Watanzania ni wa jamii ya Wabantu (k.m. Wazaramo, Wapare na Wapogoro). 2. Nje ya hao, kuna Waniloti, kwa mfano Wamasai na Wajaluo... |